Tundu A. M. Lissu hapuuziki

Tundu A. M. Lissu hapuuziki

Lissu alikua na uwezo wa kutoka kisiasa bila kumtukana Nyerere
 
lisu ni kati ya wabunge vilaza. wengine ni lema, msigwa,sugu
 
Kwakuwa unatumwa na CHADEMA kufanya uchochezi, unadhani kila mtu ni dizaini yako? Wengine sisi ni wazalendo, tunaipenda nchi yetu, na tunaipenda Amani.

Ok, tia neno kwenye uzi wa singa singa kukwapua 200 Bil
 
Lissu hajatumia busara kutoa maneno ya kashfa kwa waasisi wa Taifa hili na hilo limemshushia heshima sana.....

Kumshushia heshima kisa kukosoa waasisi..tambua hao waasisi kizazi cha sasa haiwafahamu zaidi ya kusoma historia.

NABII ALIYEPO NDO ANAYEHESHIMIWA KULIKO HISTORIA.

LISSU AMEJIJENGEA JINA KUPITIA UDHAIFU WA MUUNGANO.
 
sisi tutapita lakini
ukweli utabaki
Hoja zake
hazijajibiwa
lakini
watoto
wetu
watakujauliza kesho
wasipopewa

majibu leo
Barikiwa sana Kamanda!
 
Lema tunajua alikupa mimba halafu akakukacha ndiyo maana una hasira nae...
ushauri wangu kwako acha umalaya pengine naweza kukuoa kama mke wa pili maana dini yangu inaruhusu...
Mkuu ukisikia LEMA ametajwa mahali, Mshipa mkuu wa damu unataka kupasuka!
 
MAKAMANDA gani wahuni mnatukana waasisi wa Taifa la Tanzania.

Ukiambiwa mwizi na kweli u hivyo , je hapo utakuwa umetukanwa! Lete matusi alotukana zaidi ya hapo utakuwa msaka donge tu.
 
Mbona mimi Lissu ni mmoja wa wabunge ninaowadharau? Akifuatiwa na LEMA?

Interahamwe kumdharau Lissu ni sawa na maji kufuata mkondo.Wewe kama ulishajichunguza humu kwenye jukwaa watu wote wenye akili wanakudharau.
 
Kwakuwa unatumwa na CHADEMA kufanya uchochezi, unadhani kila mtu ni dizaini yako? Wengine sisi ni wazalendo, tunaipenda nchi yetu, na tunaipenda Amani.
hivi wewe ni amani ipi ambayo unaiona? we unaona unyonge, umaskini na ujinga halafu unasema ni amani?

hata hivyo utajuaje kiswahili wakati we ni mchina?
 
Maiterahamwe mwiba wa Lisu umewakaba kweli kweli haumezeki hautemeki,mnao huo mpaka mtoke madarakani.
 
CCm suluali na sketi zimeshauka ziko kwenye magoti kwa sababu ya LISSU kijana mdogo sana.wanaotumia makalio kufikiri wanahangaika sana kumdhibiti lakini hamna kitu. akina nchemba wamekalia kuchota pesa BOT 200 bil kwa ajili ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom