chambalo kafao
Senior Member
- Feb 8, 2014
- 193
- 209
Mbona mimi Lissu ni mmoja wa wabunge ninaowadharau? Akifuatiwa na LEMA?
Na wanaoheshimika sana Lissu na Lemma. Hasa kwa kuwanyang'anya ccm majimbo.
Mbona mimi Lissu ni mmoja wa wabunge ninaowadharau? Akifuatiwa na LEMA?
Mbona mimi Lissu ni mmoja wa wabunge ninaowadharau? Akifuatiwa na LEMA?
Lissu hajatumia busara kutoa maneno ya kashfa kwa waasisi wa Taifa hili na hilo limemshushia heshima sana.....
Kwakuwa unatumwa na CHADEMA kufanya uchochezi, unadhani kila mtu ni dizaini yako? Wengine sisi ni wazalendo, tunaipenda nchi yetu, na tunaipenda Amani.
Lissu hajatumia busara kutoa maneno ya kashfa kwa waasisi wa Taifa hili na hilo limemshushia heshima sana.....
Wapuuzi hao.....wamezoea kukumbatia historia tu....na nyie katibiweni basi st.Thomas mzidi kumuenzi huyo mwasisi mnayemuona alikua YESU MNAZARETH
Mbona mimi Lissu ni mmoja wa wabunge ninaowadharau? Akifuatiwa na LEMA?
tuthibitishie uwongo wake ni upi?Leo amekuwa mtetezi wa hoja za CUF wakati jana alikuwa mtetezi wa hoja za Tanzania bara.
Leo anasema Tanganyika inainyonya Zanzibar wakati jaza alikuwa anasema Zanzibar inainyonya Tanzania Bara aliwakemea wazanzibari kwa kuvunja katiba ya Tanzania na katika hoja hiyo akasema CHADEMA haiwezi kushirikiana na CUF kwa sababu ya kitendo walichokifanya wakishirikiana na CCM zanzibar.
Sasa hapa sijui nani wa kupuuzwa.
Hizi ajenda zilizojificha zitalipeleka taifa pabaya
kwa interahamwe ni kawaida, wewe si mbunge wako unayemheshimu ni komba na lusinde? Maana mnafanana kwa ma....Mbona mimi Lissu ni mmoja wa wabunge ninaowadharau? Akifuatiwa na LEMA?
kama kukwapua mabilioni ya watanzania pale BoT, Kuendekeza ubaguzi na chuki ndo uzalendo, basi huo uzalendo hautakiwi kamwe Tanzania..Kwakuwa unatumwa na CHADEMA kufanya uchochezi, unadhani kila mtu ni dizaini yako? Wengine sisi ni wazalendo, tunaipenda nchi yetu, na tunaipenda Amani.
tuwekee mfano wa hilo tusi walilotukana waasisi hapa..MAKAMANDA gani wahuni mnatukana waasisi wa Taifa la Tanzania.
Lissu hajatumia busara kutoa maneno ya kashfa kwa waasisi wa Taifa hili na hilo limemshushia heshima sana.....