majaar
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 1,356
- 257
Mbona mimi Lissu ni mmoja wa wabunge ninaowadharau? Akifuatiwa na LEMA?
Kama sisi tunavyokudharau wewe na hoja zako za ovyo na id yako ukiiwakilisha vilivyo choo na akili yako.
Mbona mimi Lissu ni mmoja wa wabunge ninaowadharau? Akifuatiwa na LEMA?
Mbona mimi Lissu ni mmoja wa wabunge ninaowadharau? Akifuatiwa na LEMA?
Kwakuwa unatumwa na CHADEMA kufanya uchochezi, unadhani kila mtu ni dizaini yako? Wengine sisi ni wazalendo, tunaipenda nchi yetu, na tunaipenda Amani.
Mbona mimi Lissu ni mmoja wa wabunge ninaowadharau? Akifuatiwa na LEMA?
Sherehe za Miaka 50 ya Muungano ni mahali pazuri pa kuanzia kudai ukweli juu ya Muungano huu. Mtu yeyote anayetembea sasa katika Barabara ya Nyerere kuanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere hadi katikati ya jiji la Dar es Salaam; au Barabara ya Ali Hassan Mwinyi kuanzia Morocco hadi katikati ya jiji, ataona kila mlingoti wa taa za barabarani umepambwa kwa picha za Waasisi rasmi wa Muungano, yaani Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume, wakiwa katika matukio mbali mbali ya siku za mwanzo za Muungano. Picha hizo za Waasisi hao pia zimepambwa karibu kila mahali katika barabara za katikati ya Eneo Kuu la Kibiashara (CBD) la Jiji la Dar es Salaam.
Hata hivyo, Mheshimiwa Spika, kwa upande wa Zanzibar, barabara zote kuu za Mji wa Zanzibar, ikiwamo ile inayotoka Mji Mkongwe kupitia Ikulu ya Zanzibar hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, hakuna picha hata moja ya Waasisi wa Muungano katika matukio yanayoonyeshwa kwenye picha zilizoko Dar es Salaam. Badala yake, barabara hizo zimepambwa kwa picha za Marais wa Zanzibar toka Mapinduzi ya mwaka 1964 hadi wa sasa. Ni ndani ya eneo la wageni maarufu (VIP) pekee ndio kuna picha moja ya Mwalimu Nyerere na Sheikh Karume. Hii ni katika wiki ambayo Muungano huu umeadhimisha miaka hamsini tangu kuzaliwa kwake!
Kwa jinsi ambavyo tangu mwaka huu uanze Watanzania tumepigwa propaganda za kila aina juu ya Muungano na TBC na vyombo vingine vya habari vya serikali na vya binafsi, kukosekana kwa dalili yoyote ya sherehe za Muungano kwa upande wa Zanzibar wakati wa kilele cha sherehe hizo kunatilia shaka juu ya uimara wa misingi ya Muungano wenyewe. Hii ndio kusema kwamba pengine kuna ukweli katika hitimisho la Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwamba Tanganyika ndiyo imevaa koti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na pengine ndio maana Muungano huu haujawahi kuungwa mkono Zanzibar kwa kiasi ambacho wanaopenda kutuaminisha vinginevyo wamekuwa wakidai
Lissu alikua na uwezo wa kutoka kisiasa bila kumtukana Nyerere
Wewe lazima utakuwa unafikiri kwa Kutumia Makalio ,Upeo wako ni Kama wa Lusinde ,nenda kawadharau wanaokupakata.Mbona mimi Lissu ni mmoja wa wabunge ninaowadharau? Akifuatiwa na LEMA?
MAKAMANDA gani wahuni mnatukana waasisi wa Taifa la Tanzania.
Lissu hajatumia busara kutoa maneno ya kashfa kwa waasisi wa Taifa hili na hilo limemshushia heshima sana.....
Wakati wa Bunge la Katiba Ndugu Lissu kabla ya kuanza kuchangia hoja ya ama serikali mbili au tatu alisikika akisema "aliyezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi" aliporekebishwa na mwenyekiti aliyaondoa maneno hayo na kutumia mengine yanayofanana na hayo kimantiki yaani "aliyezoea kuishi kwa uongo hawezi kuwa mkweli". Mara baada ya utangulizi huo aliendelea kunukuu maandiko ya Dr. Mwakyembe, Prof.Shivji kuthibitisha kauli yake ya awali kwa kuonesha ukigeugeu wao kuhusu muundo muafaka wa muungano. Baadaye akanukuu mahojiano ya Mwl. Nyerere huko nyuma mara baada ya muungano aliposema kuwa Zanzibar walikuwa na uhuru wakuchagua ama kuendelea na muungano au la na Tanzania isingewalazimisha kwa mabomu na akalinganisha na maamuzi yaliyofanyika baadaye kumuondoa madarakani Ndg. Aboud Jumbe kama mfano wa ukigeugeu wa Mwalimu. Nadhani hili la mwisho ndio wapinzani wa Lissu wanalitumia kujenga hoja kuwa alimkosea heshima Hayati Baba wa Taifa.
Hakuna hoja ya msingi ambayo Lissu kaitoa kuhusu muungano. Zaidi zaidi ni kushinikiza wanzazibar kujitenga na kuwaaminisha kuwa wao ni koloni la Tanganyika ambayo ilishakufa miaka tele iliyopita kabla hata mwenyewe Lissu hajazaliwa.
hapo kwenye bluu, kwa mtazamo wako amemtukana au amemkosoa mkuu
THE BEST TUNDU LISSU ana THAMANI KUBWA KULIKO WABUNGE WOTE WA CCM .
aliyezoea kuishi kwa uongo ama vya kunyonga hawezi kumwelewa Lissu.
Ukiwa na uwezo mfupi wa kufikiri, utamuona Lissu ni Mungu wako.
hongera kwa kuuona na kuukubali ukweli!