Tundaman: Boss anuniwi....!!!

Tundaman: Boss anuniwi....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,257
Reaction score
22,138
Ni kama wiki moja hivi imepita ambapo tundaman amefanya kitu ambacho ni for the first time in TZ music industry, amerelease videos 3 mpya za ngoma zake kwa wakati mmoja. Katik hizo ngoma,binafsi zote naona kama za kawaida sana na sidhani kama hizi ndio zingekua comeback ya bwana tunda il hii atleast kidogo imekaa vizuri japo midundo naifananisha na ka ngwaru ya konde boy...
 
Back
Top Bottom