BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,777
- 6,269
Aiseee,mambo ni vipi,tushafungwa sasa tuendelee na mwngine.
Mimi sio mjuzi saaana,nauliza kwa wanaojua humu,maana wengine kila kitu wananukuu maandiko ya mungu.
Ni tunda gani walilokula? Wengine wanasema komamanga.
Wengine walikwich kwich,
Wengine tunda LA mti WA wakati,ili mradi kila mmoja asema lake.
Hebu njooni hapa tufahamishane,Ila msinukuu manneno ya vitabu maana humu kila mmoja na imani yake, na wengine hawana dini.
Na ukisoma utakuja ona kuna Dino zaidi ya 100 duniani.
Mfano .Buddha,Hindu, Shinto. Jews, Islam, Christian na zingine ambazo sikuzitaja.