Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,425
- 17,887
S6 >S7 kua makini mkuu.Huyu mdada (mtoto) abajiita Tunda Nation ninemkuta kule face book anauza simu kwa bei ya chini sana. Kwa mfano
1. Galaxy s6 ni 300000
2. Galaxy j7 prime 350000
3. Galaxy s7 kwa 250000
Jamani kwa hii brand hizi bei zinalingana na thamani ya cm?
Utapeli wao haufanani na utapeli. Ni upumbavu.
Yani s7 ni rahisi kuliko s6??Huyu mdada (mtoto) abajiita Tunda Nation ninemkuta kule face book anauza simu kwa bei ya chini sana. Kwa mfano
1. Galaxy s6 ni 300000
2. Galaxy j7 prime 350000
3. Galaxy s7 kwa 250000
Jamani kwa hii brand hizi bei zinalingana na thamani ya cm?
Hehe huyu jamaa nishamuindiaga tume hana lolote kesho nitamleta hapaKuna yule jamaa yupo kupatana anauza simu bei chee ila was was wangu ni namba yake ya simu inaanzia na +254