Yeah ni mazaituni nayapenda sana hayo matunda ndani malaini yanaunga kama kiazi kilichochemshwa na yana unga. Mbele yake iko ndani kubwa hivi ya brown. Huku Dar nayapataga soko la wahindi mitaa ya kisutu
Yapo mengi sana huko Rombo. Umenikumbusha kitambo hicho tulikuwa tunachuma majani yake tunayatengeneza kiaina hivi halafu tunachomeka kijiti katikati basi ukikimbia linazunguka kwa kasi sana. Tuliita ndege. Ilikuwa mwanzoni mwa miaka ya 90