Tunazo betri mpya zinaitwa TNT ni dry cell tunazo size zote ni nzuri

STOCK MPYA IMEINGIA WEKA ODA YAKO, 0767379412.
 

Attachments

  • IMG_20190826_130520.jpg
    226.8 KB · Views: 29
TNT BATTERIES SULUHISHO LA MATATIZO YAKO.. PIGA SIMU- 0767-379412. MIKOANI TUNASAFIRISHA.
 

Attachments

  • IMG_20190828_143107.jpg
    155.6 KB · Views: 26
150,000 kwasasa. mwezi unaokuja bei itabadilika. maongezi mengine njoo tumalizane kwenye simu.
Nilienda jana kkoo kuulizia chloride exide ya N50, wao wanauza 120,000
Jiangalie unakosea wapi kwa maana hyo brand yako ya TNT ni ndogo sana kulinganisha na Chloride Exide
Ni ushauri tu, usijenge chuki!
 
Nilienda jana kkoo kuulizia chloride exide ya N50, wao wanauza 120,000
Jiangalie unakosea wapi kwa maana hyo brand yako ya TNT ni ndogo sana kulinganisha na Chloride Exide
Ni ushauri tu, usijenge chuki!
Hao magent wa kariakoo wamekupa bei ya N50 dry cell. Waulize hao magent wa kariakoo wakupe bei ya N50 MF maintenance free, utaona utofauti mkubwa.

Utofauti wa dry cell na Maintenance free ni kwamba dry cell battery ikipungua nguvu huwezi kuchaji, yaani inabidi ubadilishe betri lakini Maintenance free battery ikipungua nguvu unaweza kuchaji na kuendelea kuitumia.

N50 dry cell hata sisi tunazo zipo nyingi stock nauza kwa bei ya 125,000 tu. TNT brand. japan standard battery. karibu wadau
simu- 0767-379412.
 
kuna aina 4 za betri

1) wet cell battery, hizi ni battery zenye matundu ambazo zina maji ndani yake, aina hizi za betri zilikuwa zinawekwa maji na kuchajiwa, aina hizi za betri kwasasa hazipo tena sokoni,kiufupi zimepitwa na wakati,kwasababu technology yake ni ya zamani.

2) Maintenance free Battery kwa majina mengine MF, SLI au VRLA, aina hizi za betri zinakuwa zipo sealed, zina maji ndani yake lakini huwezi kutoa maji yake, kwasababu haina matundu na cover yake ipo sealed, unaweza kuchaji tu endapo nguvu imepungua. aina hizi za betri zipo sokoni zinapatikana kila sehemu.

3) Dry cell battery, hizi ni betri ambazo ziko sealed na hazina maji, aina hizi za betri huwezi kuchaji zikipoteza nguvu inabidi ununue nyingine uweke. zipo sokoni zinauzwa na zinapatikana kila mahali.

4) Solar battery, hizi ni betri ambazo zinatumika kwenye solar panels, hizi ni betri tofauti kwasababu shepu yake inakuwa tofauti na terminal zake ni tofauti kabisa. Sisi hatuuzi aina hizi za battery.
 
 
Ni bora ununue betri ambayo ni quality na genuine kama TNT kwasababu hautapata usumbufu wa kubadilisha betri. niamini kwa hilo.
 
TNT BATTERIES. CALL 0767-379412
 

Attachments

  • IMG_20190821_104205.jpg
    196.8 KB · Views: 28
Wewe ni muuzaji wa jumla au reja reja.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…