Jopelo John
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 317
- 71
- Thread starter
- #81
150,000 kwasasa. mwezi unaokuja bei itabadilika. maongezi mengine njoo tumalizane kwenye simu.
150,000 kwasasa. mwezi unaokuja bei itabadilika. maongezi mengine njoo tumalizane kwenye simu.
STOCK MPYA IMEINGIA WEKA ODA YAKO, 0767379412.
Nilienda jana kkoo kuulizia chloride exide ya N50, wao wanauza 120,000150,000 kwasasa. mwezi unaokuja bei itabadilika. maongezi mengine njoo tumalizane kwenye simu.
Hao magent wa kariakoo wamekupa bei ya N50 dry cell. Waulize hao magent wa kariakoo wakupe bei ya N50 MF maintenance free, utaona utofauti mkubwa.Nilienda jana kkoo kuulizia chloride exide ya N50, wao wanauza 120,000
Jiangalie unakosea wapi kwa maana hyo brand yako ya TNT ni ndogo sana kulinganisha na Chloride Exide
Ni ushauri tu, usijenge chuki!
kuna aina 4 za betri
1) wet cell battery, hizi ni battery zenye matundu ambazo zina maji ndani yake, aina hizi za betri zilikuwa zinawekwa maji na kuchajiwa, aina hizi za betri kwasasa hazipo tena sokoni,kiufupi zimepitwa na wakati,kwasababu technology yake ni ya zamani.
2) Maintenance free Battery kwa majina mengine MF, SLI au VRLA, aina hizi za betri zinakuwa zipo sealed, zina maji ndani yake lakini huwezi kutoa maji yake, kwasababu haina matundu na cover yake ipo sealed, unaweza kuchaji tu endapo nguvu imepungua. aina hizi za betri zipo sokoni zinapatikana kila sehemu.
3) Dry cell battery, hizi ni betri ambazo ziko sealed na hazina maji, aina hizi za betri huwezi kuchaji zikipoteza nguvu inabidi ununue nyingine uweke. zipo sokoni zinauzwa na zinapatikana kila mahali.
4) Solar battery, hizi ni betri ambazo zinatumika kwenye solar panels, hizi ni betri tofauti kwasababu shepu yake inakuwa tofauti na terminal zake ni tofauti kabisa. Sisi hatuuzi aina hizi za battery.
Ni bora ununue betri ambayo ni quality na genuine kama TNT kwasababu hautapata usumbufu wa kubadilisha betri. niamini kwa hilo.
kwa bei zetu ni za kawaida sana, wadau wasiogope, kwa biashara 0767-379412.
Mkuu labda niongeze sababu nyingine, nimeshatoa sababu za hapo awali, ila ngoja nitoe sababu nyingine, unajua kuna magent ambao tunawauzia betri zetu, sasa wakija kuona nimeweka price list hapa itakuwa ugomvi mkubwa wa kibiashara. sasa lazima nilinde maslahi ya kibiashara. kwahiyo kama unashida ya betri piga simu au tuma msg ntakupa bei, hata kama huna mpango wa kununua.
halafu sijamjibu mtu yeyote vibaya humu JF, Kuna wadau ambao nawafahamu ni magent wa betri zingine na wameniuliza humu humu lakini nimewajibu kawaida kabisa.
Mkuu betry size kubwa kidogo ya betry za pikipiki mnazo?wadau wanaotafuta N200 na N150 zipo karibuni. 0767-379412.
zote mkuuWewe ni muuzaji wa jumla au reja reja.?
hizo hatuna mkuu.Mkuu betry size kubwa kidogo ya betry za pikipiki mnazo?
Nataka kwa ajili ya panel ndogo ya solar.