Tunazo betri mpya zinaitwa TNT ni dry cell tunazo size zote ni nzuri

betri za tnt. wa magenereta na magari. piga 0767-379412
 

Attachments

  • IMG_20190823_164930.jpg
    IMG_20190823_164930.jpg
    181.5 KB · Views: 12
Nawatangazia biashara kwa wadau wote wa Dar na mikoa yote Tanzania, wote wenye mahitaji ya betri mpya kwa ajili ya gari, Generator na mashine mbali mbali.

Tunazo betri mpya zinaitwa TNT ni dry cell tunazo size zote ni nzuri ni imara ni bidhaa quality. tunakupa warranty ya mwaka mzima

Tunasafirisha mzigo kwa wateja wote wa mikoani, gharama za usafiri itaongezeka tupo Vingunguti, Dar es salaam.

Simu -0737-017866 au 0767-379412.

email- jopelo.john@mail.com
N50 bei
 
tnt batteries available in stock. call 0767-379412.
 

Attachments

  • IMG_20190826_130529.jpg
    IMG_20190826_130529.jpg
    255.8 KB · Views: 12
kama kawaida tunaendelea na biashara. naendelea kutangaza hizi betri mpaka zipate soko. kwa mahitaji ya betri piga simu 0686-168624.
 

Attachments

  • IMG_20190823_152208.jpg
    IMG_20190823_152208.jpg
    234 KB · Views: 2
hujanipa size ya betri ni N50 au N40 au n70 au n80. cheki halafu niambie kabla sijaenda offline. au njoo kwenye simu 0767-379412
Size ni 5AH,
Umesema mna dry batteries size zote, lakini nishakuwa na wasiwasi kama 12V5AH hutambui ni kitu gani,,,,
 
Size ni 5AH,
Umesema mna dry batteries size zote, lakini nishakuwa na wasiwasi kama 12V5AH hutambui ni kitu gani,,,,
imebidi niende kugoogle search, nimepata majibu yake, nimeshakuelewa sasa, wewe unahitaji betri za 12v5ah ambazo ni za kubackup power za ups za computer. kwa bahati mbaya hizo hatusupply.
sisi tunasupply automotive batteries.
 
imebidi niende kugoogle search, nimepata majibu yake, nimeshakuelewa sasa, wewe unahitaji betri za 12v5ah ambazo ni za kubackup power za ups za computer. kwa bahati mbaya hizo hatusupply.
sisi tunasupply automotive batteries.
 
mkuu ndio maana nimeweka namba zangu za simu na email kwa mdau yeyote ambaye yuko interested na product zetu anitafute, nitamjibu fasta.

mkuu naomba nitoe hoja zingine za ziada kama ifuatavyo,

kwanza, kwanini sijaweka bei ni kwasababu kuna kitu kinaitwa price instability. kuna wakati gharama za kodi na import duties itafanya bei za betri kupanda kila baada ya muda fulani na kuna wakati bei zinashuka. sasa nikiweka price list hapa kwenye uzi huu kuna wateja watakuja kunipigia simu mwaka mmoja baadaye wanataka bei ya N40 halafu nikiwatajia bei wataanza kusema mbona bei yako iko juu tofauti na na kwenye post ya JF. kumbe hawajui kwamba post ni ya muda mrefu na hali ni tofauti na sasa itakuwa mtihani kwa mtu wa sales kuanza kutoa sababu za kwanini bei zimepanda na kumshawishi tena mteja anunue betri kwa bei ambayo mteja hakujua.

Pili, kuna kitu kinaitwa customer confidential. siri ya mteja na muuzaji. hii kitu tunazingatia sana kwa wateja wetu hatutangazi wateja wetu public na ndio maana nashauri mdau yeyote ambaye yupo interested na product yetu apige simu kuuliza au tuma email ntakujibu fasta.

Tatu kuna competitors yaani wapinzani wetu, kama exide,Atlas, puma na wengineo mbona wao bei zao hawatangazi hadharani na sijui kama nimewahi kuona matangazo yao lakini wapo mtaani wanafanya biashara kama kawaida.

kwahiyo wadau wawe free, wapige simu ntawapa bei za betri au njoo ofisini tuzungumze biashara.
Unaogopa Nin kuweka bei? Huu ni udalali
 
Back
Top Bottom