Tunazo betri mpya zinaitwa TNT ni dry cell tunazo size zote ni nzuri


Hili Tangazo halijakidhi vigezo vya JamiiForums, inabidi tuliripoti ili liondolewe. Tangazo ili liwe JF ni lazima liwe na bei. Soma hapa;

 
poa mkuu ripoti tu. haina shida.
 
poa mkuu haina shida ripoti tu.
 
TNT BATTERIES KATIKA PICHA, JINSI ZILIVYO. MWENYE MAHITAJI 0767-379412
 

Attachments

  • IMG_20190903_101037.jpg
    176 KB · Views: 15
  • IMG_20190903_100753.jpg
    164.2 KB · Views: 13
ns40 mzigo mpya unaingia mwisho wa mwezi huu. wadau wanaweza kupiga simu.0767-379412
 
Busara iko hivi; kama MTU amekuuliza bei ya N40 weka bei huenda kuna mwingine anasubiri kujua bei na sio kuficha ficha kama biashara ipo wazi pia na bei ziwe wazi,, hata japan huweka bei zao za magari kulingana na gari lenyewe na ikitokea imepanda wanaweka ongezeko na kama imeshuka wanaweka punguzo sasa wewe unalazimisha upigiwe tuu na kufuatwa pm kwani kuna nini unataka kukificha kwenye biashara hii? Jitathimini na biashara yako mkuu ili uendelee ki biashara epuka kujibu vibaya mteja hata kama hanunui Leo anaweza akanunua kesho au akaelekeza mtu kununua hivyo amini kila mtu ni mteja wako ki namna Fulani ....
 

Mkuu labda niongeze sababu nyingine, nimeshatoa sababu za hapo awali, ila ngoja nitoe sababu nyingine, unajua kuna magent ambao tunawauzia betri zetu, sasa wakija kuona nimeweka price list hapa itakuwa ugomvi mkubwa wa kibiashara. sasa lazima nilinde maslahi ya kibiashara. kwahiyo kama unashida ya betri piga simu au tuma msg ntakupa bei, hata kama huna mpango wa kununua.

halafu sijamjibu mtu yeyote vibaya humu JF, Kuna wadau ambao nawafahamu ni magent wa betri zingine na wameniuliza humu humu lakini nimewajibu kawaida kabisa.
 
 
wahitaji betri kwa bei nzuri, njoo nikuuzie upate betri bomba utakaa nayo mpaka utasahau. simu 0767-379412
 

Attachments

  • IMG_20190823_152218.jpg
    170.3 KB · Views: 16
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…