Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
Shaurilo, wenzako tunakamua alizetu, wee piga tu makelle yako ya kuumizwa moyo na mapenzi ya makatuni.
Ushauri,
Usishoboke na uzuri wa avatar
Habari za saa hiizi wanajamvi!!
Utafiti nilioufanya kwa kina nimegundua yakua hapa JF hakuna mapenzi ya kweli ni kuzinguana tu bure yani muna taftana munapatana hapahapa JF munatongozana humuhumu munakubaliana nakuoana humuhumu JF na munaachana humuhumu bila hata yakuonana..!! Ni wachache sana Wasema kweli..!!
Hivi kweli are you a male or a female! Humu huwezi jua majina na avatar zisikupoteze-If needs nitaku-pm
Habari za saa hiizi wanajamvi!!
Utafiti nilioufanya kwa kina nimegundua yakua hapa JF hakuna mapenzi ya kweli ni kuzinguana tu bure yani muna taftana munapatana hapahapa JF munatongozana humuhumu munakubaliana nakuoana humuhumu JF na munaachana humuhumu bila hata yakuonana..!! Ni wachache sana Wasema kweli..!!
Wanaonaje kama hawajaonana?hata hivyo bado ni tetesi huna uhakika tupate habari kamili.
Kumbe ulikuwa unanitania mi nikajua unanitongoza siriasi na nshaanza kukupenda ujue!!!!!!!
Kumbe ulikuwa unanitania mi nikajua unanitongoza siriasi na nshaanza kukupenda ujue!!!!!!!
makofi kwenu........................Sasa wewe umejiunga juzi juzi umesha jikoncludia??
Mwenzio nimempata humu humu, tumeonana, tumekubaliana na muda si mrefu nitakualika kwenye harusi yangu..!!
Mi sio mwanamke asee, kwani wewe ni me au ni ke???
New news kuwa watu wanatongozana humu JF. nilikuwa sijui!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ina maana na hujawahi kutongozwa humu? Sema suuu uone!