Tunazidi kupaa bila KQ

Huwezi linganisha kiasi mnachoexport na kile ambacho sisi tunaexport. Sisi tunaexport mara kadhaa kuwashinda. Nyie ndio mumeanza tu. Sisi tumekuwa tukiexport avocado kwa miaka nyingi sasa. Endelea kucheka cheka tu
Ndio ninyi zaidi ila ni sawa na kukimbilia standi halafu nauli tunazo sisi , serikali itakaponunua ndege yetu ya mizigo itajikita Zaid ktk kuitafutia kazi ya kufanya hapo ndipo mutakapolia na kusaga meno, maana kitakachotokea kukata mirija tu ya matunda mboga na maua kuuzwa Kenya sasa cjui huko kusafirisha mara nyingi Zaid cjui mutakutoa wapi na mparachichi haukui Kwa mwezi pia ardhi hamna. Kwahiyo subiria tu yajayo yanafurahisha
 
Huwezi linganisha kiasi mnachoexport na kile ambacho sisi tunaexport. Sisi tunaexport mara kadhaa kuwashinda. Nyie ndio mumeanza tu. Sisi tumekuwa tukiexport avocado kwa miaka nyingi sasa. Endelea kucheka cheka tu
Lakini mnaimport toka Tanzania!!
 
Huwezi linganisha kiasi mnachoexport na kile ambacho sisi tunaexport. Sisi tunaexport mara kadhaa kuwashinda. Nyie ndio mumeanza tu. Sisi tumekuwa tukiexport avocado kwa miaka nyingi sasa. Endelea kucheka cheka tu
Are these words coming directly from your very intestinal opening? Where is the data?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi linganisha kiasi mnachoexport na kile ambacho sisi tunaexport. Sisi tunaexport mara kadhaa kuwashinda. Nyie ndio mumeanza tu. Sisi tumekuwa tukiexport avocado kwa miaka nyingi sasa. Endelea kucheka cheka tu
Usijisifu una mbio msifu na anayekukimbiza, unaleta mambo ya zamani hapa, tunaongelea hivi sasa.
 
Maana ya neno juzi ni siku kabla ya jana,

Kumbe kunyonga monkey ndio tabia yako tena ukitumia arimis.
Arimis ni kampuni ambayo haiwezi kuanguka ukizingatia jeshi ya mamilioni ya wanaume wanaoinunua kwa kazi maalum. Kuna siku nilienda kununua arimis pekee yake. Huyo mwanamke wa supermarket anayelipisha akaniangalia kwa macho mbaya. Karibu nimuulize "si unipee kuskus badala ya kuniangalia vibaya."
 
You can even sell the whole kenya to wazunguz....kama mliweza peleka matunda kwa malikia na wananchi wenu wanakufa na njaa ya covid19....sembuse complex goods
it was flowers not fruits... saa zingine jua kusoma ..
kwani huwa tunakula maua ???
 
Back
Top Bottom