Tunayokutana nayo kwa wake za watu

Tunayokutana nayo kwa wake za watu

Na wewe ukioa utayakuta tu hayo mabachera watakula kiulaini kazi yako wewe unabeba zege
 
Wanawake bana. Unampondea mume wako lkn bado unaishi kwake na unalelewa km mtoto.
Wengine wanaomba mpaka hela ya chu.....pi lkn akishafika kwa mchepuko full kumpondea. Cha kushangaza akitoka kugongwa huko akifika nyumbani. Baba fulani hakuna chumvi, aiseeeee.
Hata km unachepuka, ni vizuri kumheshimu mumeo. Hao michepuko wa kupita tu. Wakishakula huwezi kuwaona tena. Utabaki ww na mumeo
Mke wangu nimeachia saa hizi nahisi atakuwa anaiambia michepuko kibamia, hajui mapenzi, anapenda kulelewa name it...wacha ale maraha ya dunia maisha yenyewe mafupi kwanini aishi na mwanaume anayemtengenezea jehanamu hapahapa dunniani. Sasa amepata wanaume wanajua kumjengea mwanamke pradiso hapahapa duniani...
M
 
Umekuja kutafuta sifa ila usisahau kuleta mrejesho hapa utakapoliwa tundu uchafu na mwenye Mke, tusijione wajuzi saaana kula wake za watu ni hatari sana
 
We maliza tu zamu yako nawewe siku ukioa watamla tu na wakwako usije nuna tu
 
Wewe unadhani angekuponda? Hata mmewe huwa anaambiwa hivyo hivyo,subiri uachwe ndio utajua ukweli ulio moyoni mwake,endelea kutembeza rungu kwa wake za watu utapata unachostahili one day.
 
Endelea tu kuwafaidi ila cku ukioa ujiandae kwa ilo (tunapenda kubadilisha mabucha na huku nyama ni ileile)
 
Asilimia kubwa ya wanaotembea na wake za watu uishia pabaya na mapenzi na mke wa mtu ayana siri,kuna kijana akikuwa anatembea na mke wa mtu siku ya siku akafumwa na kupewa nafasi ya kutolewa RINDA au kufanya kutobolewa macho jamaa akaopt jutobolewa jicho,jicho moja likatolewa, endelea hila mwisho sio mzuri.
 
Basi nanyi wanaume mjitaidi kuwajibika kwa wake zenu, mm nilishaonaga rafiki zangu km watano wanaangaika na mabwana wa nje, walipokuwa wakilalamikia mambo wanayofanyiwa na waume zao sikuamini, ila leo nayaona. Mwanaume jitambue
Hivi kabla ya kuoana si walichunguzana au walikutana klabu wakabebana na kuanza maisha,mbona kina mana wa zamani awakuwahi kulalama kama wanawake wa kileo.
 
Haina haja ya kupanick. Kiukweli mie ninachoona kwa wanawake walio olewa Wana jikuta wamejifunga kwenye mtego wa ndoa ikiwa bado wanahitaji sex adventures. Na wengi hawapendi ndoa eti Ni ndoana Ukiwa wapa stress kidogo tu. Akitongozwa laini kama siagi. Lamuhimu tuwapende tuwadekeze tuwape uhuru kidogo. Ila ukimpeleka kijeshi ujue washenzi watajifunia kama wamefuga wao.
 
Kiukweli sijawahi kuleta mada ya mapenzi/Mahusiano humu ila Leo imenibidi nilete tu. Unajua katika mihangaiko yangu ya kazi nilibahatika kumpata demu flani hivi,

Kiufupi ni mzuri na ni mtu wa Tanga, nilijiona mwenye bahati kukubaliwa na huyo mtoto kwa sababu nilikuwa na ndoto za kupata mwanamke kutoka Tanga ili nisibitishe ule msemo wao pendwa wa mapenzi Tanga ndio yalipozaliwa.

Mwanzo tu wa mahusiano aliniambia kwamba ameolewa na amejaliwa kupata mtoto mmoja na kwa kuwa mimi nilihitaji tu nitimize azma yangu basi tukapanga siku ya kufanya kile kitendo pendwa kinachoitwa tendo la ndoa.

Basi siku ya siku ikafika bhana na haikuwa mbali ilikuwa ni juzi kati tu basi tukafika lodge na kuchukua Self Room.

Katika harakati zetu zile mi mtoto wa kiume nikamfanyia viutundu kidogo mtoto kalewa nikajilia vyangu kiulaini.

Sasa wakati nipo mapumziko huku tunapiga story kidogo ili niendelee na game kufunga la 4 kidogo yule mwanamke akawa ananiambia uanaume si ndio huu bhana siyo yule aliyenioa akifika nyumbani usiku anapiga kimoja tu na hata dakika hachukui anamaliza ananalala zake ananiacha na nyege kibao.

Katika kumdodosa dodosa yule mwanamke muda mwingi alikuwa anamponda sana mume wake kwa kutomrizisha mpaka analaumu kwamba yeye ndio sababu ya kumcheat.

Huyu mwanamke tangu nipige nae lile game amekuwa ni wa kuniganda mpaka kuna muda naona kero.

Jamani kama wewe umeoa na huko humu JF wahudumieni vizuri wake zenu wa ndoa siyo huduma ya mavazi, kula na vitu vingine vya thamani ni hile huduma muhimu ya tendo la ndoa.

NB; kijana mwenzangu bachelor kama mimi we unakutana na yapi kwa hao wake za watu?
Bado upo naye tu sio mkuuu
 
1. Siku ukikua utajua kuwa wanawake ni wanafki. Akiwa kwako anakusifia na akiwa kwa mwingine anasifia na ankuponda ww

2. Na mkeo watamzagamua tu
 
Back
Top Bottom