Tunayokutana nayo kwa wake za watu

Tunayokutana nayo kwa wake za watu

ok, utakapofumaniwa na kukatwa mgegedeo uje utupe mrejesho. kwani hakuna mabinti hadi ufuate wake za watu?
 
Mwenzako kule mara alichukua mke wa mtu, kumbe huyo mtu ni ninja. Aliingia gest kininja kutokea darini akawarekebisha kwa kisu afu akatokomea. Angalia mkuu.
 
Kuo
Kiukweli sijawahi kuleta mada ya mapenzi/Mahusiano humu ila Leo imenibidi nilete tu.

Unajua katika mihangaiko yangu ya kazi nilibahatika kumpata demu flani hivi,
Kiufupi ni mzuri na ni mtu wa Tanga,
Nilijiona mwenye bahati kukubaliwa na huyo mtoto kwa sababu nilikuwa na ndoto za kupata demu kutoka Tanga ili nisibitishe ule msemo wao pendwa wa Mapenzi Tanga ndio yalipozaliwa.

Mwanzo tu wa mahusiano aliniambia kwamba ameolewa na amejaliwa kupata mtoto mmoja na kwa kuwa Mimi nilihitaji tu nitimize azma yangu basi tukapanga siku ya kufanya kile kitendo pendwa kinachoitwa tendo la ndoa.

Basi siku ya siku ikafika bhana na haikuwa mbali ilikuwa ni juzi kati tu basi tukafika lodge na kuchukua Self Room.

Katika harakati zetu zile mi mtoto wa kiume nikamfanyia viutundu kidogo mtoto kalewa nikajilia vyangu kiulaini.

Sasa wakati nipo mapumziko huku tunapiga story kidogo ili niendelee na game kufunga la 4 kidogo yule demu akawa ananiambia uanaume si ndio huu bhana siyo yule aliyenioa akifika nyumbani usiku anapiga kimoja tu na ata dakika hachukui anamaliza ananalala zake ananiacha na Genye kibao.

Katika kumdodosa dodosa yule mwanamke muda mwingi alikuwa anamponda sana Mme wake kwa kutomlizisha mpaka analaumu kwamba yeye ndio sababu ya kumcheat.

Huyu mwanamke tangu nipige nae lile game amekuwa ni wa kuniganda mpaka kuna muda naona kero.

Jamani kama wewe umeoa na huko humu Jf wahudumieni vizuri wake zenu wa ndoa siyo huduma ya Mavazi,kula na vitu vingine vya thamani ni hile huduma muhimu ya tendo la ndoa.

NB.kijana mwenzangu bachelor kama Mimi we unakutana na yapi kwa hao wake za watu..!
Kuoa ni upumbavu
 
Maneno ya hivi tushayadikia sana
 
Anakulewesha akili ili usikumbuke kumwambia "tukapime" utakuja kushtuka pale nyama za mwili wako zinaachana na mifupa na kuninginia chini wakati pilikapilika za chooni zitaongezeka na ukichelea unaachia mlangoni. Sasa hivi ni kuku kwa mrija,, raha duniani....subiri sasa ndio utajua RV zinauzwa au zinatolewa bure
 
Ili mwanamke akunyonyoe vizuri lazima akusifie. Hata kama huna kiwango cha kusifiwa lazima akusifie apate anachotaka. Huyo ni tabia yake kuchepuka na sio kuzidiwa. Hawezi kamwe kukuambia mme wangu ananitosheleza hasa hata kama anapigwa 12 kila siku kamwe usitegemee kusikia hiyo kauli
 
Basi nanyi wanaume mjitaidi kuwajibika kwa wake zenu, mm nilishaonaga rafiki zangu km watano wanaangaika na mabwana wa nje, walipokuwa wakilalamikia mambo wanayofanyiwa na waume zao sikuamini, ila leo nayaona. Mwanaume jitambue
Anayetaka kuoa au kuolewa ni mpumbavu
 
Waliooa wapo kimya, chonde chonde mkuu,ukimya mbaya...
 
Wanawake bana. Unampondea mume wako lkn bado unaishi kwake na unalelewa km mtoto.
Wengine wanaomba mpaka hela ya chu.....pi lkn akishafika kwa mchepuko full kumpondea. Cha kushangaza akitoka kugongwa huko akifika nyumbani. Baba fulani hakuna chumvi, aiseeeee.
Hata km unachepuka, ni vizuri kumheshimu mumeo. Hao michepuko wa kupita tu. Wakishakula huwezi kuwaona tena. Utabaki ww na mumeo
 
Hujapiga 4, sana sana viwili tu. Vijana acheni kukosea wakubwa zenu hishma.
 
Alitaka kukufurahisha na kukufanya ujisikie kama hujakosea ili uendelee kumuudumia, siku hizi zinatafutwa Kwa mbinu nyingi sana kaa chonjo ndugu.

Na yawezekana hana Mme kazalishwa tu ila washagundua kuwa wanaume wengi wanaona sofa kumla Mke Wa MTU hivyo wanafanya hivyo kujiongezea thamani ili wakutoe upepo vizuri. So take care bro.
 
Back
Top Bottom