Ila acha kugonga wake za watu aiseAta 40 yangu ikifika lakini haiondoshi kugongewa na wengine kama hautomrizisha mke wako wakati wa tendo LA Ndoa
Hii ni kweli 100%. Umalaya ni tabia ya mtu husika wala sex sio kigezo. Kama mtu wa kupenda kutongozwa lazma atakuwa anawekwa nje tu kisirisiri!Mwanamke wa sasa hata umpige 12 daily lazima atoke!
Wa kutoka atatoka tu na wakutulia na ndoa atulie tu.
"Ishini na wanawake kwa akili sana".
Mkuu usije kujiona mwema na wakati huo huo na wewe kuna demu wa mshikaji unafukuzia .Endelea kukaa hivyohivyo bachelor mpaka umauti ukukute ili ufaidi wake za watu halafu ujiandae cha kujibu cku ya mwisho na siku ya kuja kuoa wewe na wewe utafanyiwa kama unavyowafanyia wenzio
Sasa kama humrizishi unafikiri atatulia ndani ya Ndoa ata kama ni wa kutulia akikueshimu sana mke kama huyo basi atakuwa anacheat na shamba boy au mlinzi wako ili tu hasiangaike zaidi huko njeMwanamke wa sasa hata umpige 12 daily lazima atoke!
Wa kutoka atatoka tu na wakutulia na ndoa atulie tu.
"Ishini na wanawake kwa akili sana".