Tunayokutana nayo kwa wake za watu

Tunayokutana nayo kwa wake za watu

Kiukweli sijawahi kuleta mada ya mapenzi/Mahusiano humu ila Leo imenibidi nilete tu.

Unajua katika mihangaiko yangu ya kazi nilibahatika kumpata demu flani hivi,
Kiufupi ni mzuri na ni mtu wa Tanga,
Nilijiona mwenye bahati kukubaliwa na huyo mtoto kwa sababu nilikuwa na ndoto za kupata demu kutoka Tanga ili nisibitishe ule msemo wao pendwa wa Mapenzi Tanga ndio yalipozaliwa.

Mwanzo tu wa mahusiano aliniambia kwamba ameolewa na amejaliwa kupata mtoto mmoja na kwa kuwa Mimi nilihitaji tu nitimize azma yangu basi tukapanga siku ya kufanya kile kitendo pendwa kinachoitwa tendo la ndoa.

Basi siku ya siku ikafika bhana na haikuwa mbali ilikuwa ni juzi kati tu basi tukafika lodge na kuchukua Self Room.

Katika harakati zetu zile mi mtoto wa kiume nikamfanyia viutundu kidogo mtoto kalewa nikajilia vyangu kiulaini.

Sasa wakati nipo mapumziko huku tunapiga story kidogo ili niendelee na game kufunga la 4 kidogo yule demu akawa ananiambia uanaume si ndio huu bhana siyo yule aliyenioa akifika nyumbani usiku anapiga kimoja tu na ata dakika hachukui anamaliza ananalala zake ananiacha na Genye kibao.

Katika kumdodosa dodosa yule mwanamke muda mwingi alikuwa anamponda sana Mme wake kwa kutomlizisha mpaka analaumu kwamba yeye ndio sababu ya kumcheat.

Huyu mwanamke tangu nipige nae lile game amekuwa ni wa kuniganda mpaka kuna muda naona kero.


Jamani kama wewe umeoa na huko humu Jf wahudumieni vizuri wake zenu wa ndoa siyo huduma ya Mavazi,kula na vitu vingine vya thamani ni hile huduma muhimu ya tendo la ndoa.


NB.kijana mwenzangu bachelor kama Mimi we unakutana na yapi kwa hao wake za watu..!
sisi wenye ndoa tunajua,mwoe halafu baada ya miezi6 tu utupe mrejesho,kama hajanza kukuponda eti unakibamia haumridhishi kama zamani.wanawake ni viumbe vya ajabu sana, unashindwa kujua hasa huwa wanataka nini
 
Kama alivyo kuletea kesi ya mumewe wewe ujue na yako pia iko nje,ivi kwa upeo wako unadhani hata wewe unamridhisha?
au anakutoa njiani tuu? kwanza a Real man hakubali kusikia Pumba anazo ongea huyo mwanake juu ya mumewe wa ndoa.
jiweke kwenye nafasi ya huyo mwanamme mwenzio jee ungekua una dhalilishwa hivyo na ukajua ungejisikiaje?
huyo mwanamke sie wala hakupendi anajishikizi tuu,au muulize kama anaona haridhishwi ana subiria nini mpaka akazini na wewe? ipo siku utamjua kama anakupenda au laa pale utakapo fumaniwa nae ndio ujua kama huyo mwanamke hasarifiki kama kinyesi..
 
Endelea hivyohivyo mkuu, tafuta mwingine umtafune maana utakuta na wewe wa kwako kuna wanaomtafuna. Huwezi kupiga nne nje halafu tudanganyane eti siku hiyo mkeo alipata huduma
 
Basi nanyi wanaume mjitaidi kuwajibika kwa wake zenu, mm nilishaonaga rafiki zangu km watano wanaangaika na mabwana wa nje, walipokuwa wakilalamikia mambo wanayofanyiwa na waume zao sikuamini, ila leo nayaona. Mwanaume jitambue
 
Nilitembea na mke wa mtu hadi akalewa akawa ana mnyima hadi mmewe tendo kw sababu mmewe alikuwa na matatzo ya nguvu za kiume akawa hawezi kumuomba tendo mara kwa mara hivyo ilikuwa kila nikitoka chuo nakula mzigo hadi ananikimbia kitandani.

Namshukuru mungu mmewe alijua baada ya kuhama ile nyumba japo niliendee kumtafuna maana alikuwa akinifata geto daily
 
Nilitembea na mke wa mtu hadi akalewa akawa ana mnyima hadi mmewe tendo kw sababu mmewe alikuwa na matatzo ya nguvu za kiume akawa hawezi kumuomba tendo mara kwa mara hivyo ilikuwa kila nikitoka chuo nakula mzigo hadi ananikimbia kitandani.

Namshukuru mungu mmewe alijua baada ya kuhama ile nyumba japo niliendee kumtafuna maana alikuwa akinifata geto daily
Mkuu ukiwaambia hali halisi wanamind mwishoni mwa thread hapo nimewashauri vizuri kabisa lakini wanatoa povu
 
Mi nikijua tu huwa napita maili mia ,hata wake za rafiki zangu najiweka nao mail kumi
 
Kumbe ww do jizi langu walai ngoja ninunue ky mapema
 
Muoe wewe mkuu halafu usubiri atakachosema kwa mchepuko wake mpya wa kipindi hiko
 
Ndo maneno yao hayo mkuu .hata kama jamaa angekuwa anamoiga vi5 .bado angechepuka2 .ila wengi nawaona wanapenda sana hela kiufupi Nimaombaomba sana.
Haina maana yeyote kugegeda mke wa mtu af akuombe hela... bora nkanunue nijue moja... sharti la mke wa mtu awe anajua kuhonga... maana huduma unayompelekea anaikosa kwa mumewe, so ni lazima ainunue.
 
Ndo maneno yao hayo mkuu .hata kama jamaa angekuwa anamoiga vi5 .bado angechepuka2 .ila wengi nawaona wanapenda sana hela kiufupi Nimaombaomba sana.
Alichosema mtoa post ni kweli kama ambavyo hata baadhi ya wadau walivyosema kuwa wake za watu kuliwa nje sasa imekua ni kawaida sana. Wengi wao hawana shida ya hela hata kidogo. Tena ndio kwanza yeye anakuhudumia wewe. Ili mradi tu upige kazi vizuri asijekua karuka mkojo kakanyaga choo. Anakuambia kabisa kwako haitaji hela kwakua hakufuata hela kama ni hela mume wake anazo nyingi sana.
 
Mkuu zero IQ,
Nakuomba unisaidie kuniunganisha na hao wake za watu maana nina miezi 8 sijamgusa mwanamke,
Mi nilitaka nimuombe anaiunganishe na wewe kwa mipaja hyo hapo Avatar nikajua nawe ni mgegedwaji.
 
Back
Top Bottom