jagular
JF-Expert Member
- Oct 26, 2015
- 424
- 245
Wahindi ndio wamiliki wakubwa wa kampuni za utalii Arusha , hatuna jinsi Ina bidi tuwakubali tu japo wanatunyanyasa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama umeishia la 4 utajua mambo ya 7, .Bara lipo na linaitwa İndian subcontinent, usikejeli wenzako.Katika kusoma kwangu koteeee kuanzia darasa la kwanza hadi la nne sijawahi kulisoma bara la hindi mkuu ni bara jipya?
Sasa mkuu naomba unieleze maana ya subcontinent kwa kiswahili alafu tuendelee na kuweka hojaSasa kama umeishia la 4 utajua mambo ya 7, .Bara lipo na linaitwa İndian subcontinent, usikejeli wenzako.