S Saveya JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 3,640 Reaction score 3,873 Oct 4, 2025 #301 Karibu tunywe bia EPLUS MAPINGA
Lagertha JF-Expert Member Joined Mar 1, 2023 Posts 212 Reaction score 680 Oct 16, 2025 #302 Dr. Mariposa said: Guys najaribu kupost uzi kwa mara ya kwanza kwenye JF mpya tena kwa VPN, yeey! Okay nipo bored, njooni tupige story mbili tatu, nipo Unguja sijui kwanini nikiwa huku nakua bored kuliko nikiwa Dar..... Click to expand... Dokta kwanini unachukia wanaume?
Dr. Mariposa said: Guys najaribu kupost uzi kwa mara ya kwanza kwenye JF mpya tena kwa VPN, yeey! Okay nipo bored, njooni tupige story mbili tatu, nipo Unguja sijui kwanini nikiwa huku nakua bored kuliko nikiwa Dar..... Click to expand... Dokta kwanini unachukia wanaume?
Dr. Mariposa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 5,727 Reaction score 18,976 Oct 17, 2025 Thread starter #303 Lagertha said: Dokta kwanini unachukia wanaume? Click to expand... Hey beautiful, long time hope unaendelea vizuri, Jibu lako: hapana SICHUKII Wanaume kabisa ila SIVUTIWI KIMAPENZI na Wanaume
Lagertha said: Dokta kwanini unachukia wanaume? Click to expand... Hey beautiful, long time hope unaendelea vizuri, Jibu lako: hapana SICHUKII Wanaume kabisa ila SIVUTIWI KIMAPENZI na Wanaume
Lagertha JF-Expert Member Joined Mar 1, 2023 Posts 212 Reaction score 680 Oct 17, 2025 #304 Dr. Mariposa said: Hey beautiful, long time hope unaendelea vizuri, Jibu lako: hapana SICHUKII Wanaume kabisa ila SIVUTIWI KIMAPENZI na Wanaume Click to expand... Naendelea vema, shukrani sana, Kitu gani kinakuvutia kwa mwanamke na je ulishawahi kua na mahusiano na mwanaume kabla?
Dr. Mariposa said: Hey beautiful, long time hope unaendelea vizuri, Jibu lako: hapana SICHUKII Wanaume kabisa ila SIVUTIWI KIMAPENZI na Wanaume Click to expand... Naendelea vema, shukrani sana, Kitu gani kinakuvutia kwa mwanamke na je ulishawahi kua na mahusiano na mwanaume kabla?
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 20,274 Reaction score 49,245 Oct 18, 2025 #305 min -me said: Huo mchanganyo nilijaribu nikarudisha chenji Click to expand... Mimi skupenda kabisa ila nilikunywa pale kariakoo mmh mabaya
min -me said: Huo mchanganyo nilijaribu nikarudisha chenji Click to expand... Mimi skupenda kabisa ila nilikunywa pale kariakoo mmh mabaya