Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
[h=3]Texas Heart Childrens Hospital Yaisaidia Vifaa Vya Tiba Ya Moyo Ya Dr.Ferdinad Masau Heart Institute[/h]
MTAALAMU WA TIBA YA MOYO DR. FERDINARD MASAU AKIWAONESHA WATALAMU WA MAGONJWA YA MOYO KUTOKA TEXAS CHILDRENS HOSPITAL JENGO JIPYA LA TAASISI YA DR FERDINAD MASAU HEART INSTITUTE LINALOENDELEA KUJENGWA MBWENI JIJINI DAR ES SALAAM, AWAMU YA KWANZA YA UJENZI ITAKAMILIKA MAPEMA MWAKANI
Kuanzisha na kuendesha heart hospital in solo style haijawahi kutokea duniani. Daktari atafute wenzake washirikiane.Ile ya kwanza ilikuwa Tanzania Heart Institute, hii kaipa jina lake kabisa, lakini katika zote haonekani kushirikisha wenzake.
Massau ameponzwa na usafi wake. Baada ya wakuu wa serikali kugundua kuwa mradi wake hauna ten percent na ungesababisha kamisheni wanayopata toka Apollo India kuyeyuka wameamua kumwekea ngumu. Haya ni matokeo ya kuwa na watawala wasioona mbele wala kujua waendako zaidi ya kutumia masaburi kufikiri badala ya vichwa. Mungu yupo atafanikiwa. Kuna haja ya kuitisha harambee za kusaidia ujenzi wa kituo hiki muhimu ambacho si muhimu kwa Tanzania tu bali ukanda mzima. Huyu angekuwa Kenya au Rwanda asingekuwa anahangaika kama anavyofanya.
[/QUOTE]Keshatibu Watanzania wangapi wakapona?
Atoe takwimu za wagonjwa wote aliowatibu ambao wamepona na ambao hawakupona tokea aanze shughuli zake Tanzania.
Hakuna cha uzalendo mbele ya kifo.
Watanzania wengi wenye matatizo ya moyo wanamkacha na kuamua bora kwenda India kwa matibabu.
Anaoenkana ni kuwadi wa vyuo vikuu vya Marekani anafanya Watanzania wenye magonjwa ya moyo kuwa guinea pigs.
Keshatibu Watanzania wangapi wakapona?

[/QUOTE]Unataka ushahidi kutoka kwa wengine., wakati wewe unathrow accusations ambazo ni serious na bila ushahidi! Umetumwa wewe? Unawajua wamarekani? With the investments zilizokuwa pale unadhani wangeshindwa kuilipa deni na kuendelea na shughuli zao?Una takwimu za muhimbili na india?
Keshatibu Watanzania wangapi wakapona?
Atoe takwimu za wagonjwa wote aliowatibu ambao wamepona na ambao hawakupona tokea aanze shughuli zake Tanzania.
Hakuna cha uzalendo mbele ya kifo.
Watanzania wengi wenye matatizo ya moyo wanamkacha na kuamua bora kwenda India kwa matibabu.
Anaoenkana ni kuwadi wa vyuo vikuu vya Marekani anafanya Watanzania wenye magonjwa ya moyo kuwa guinea pigs.
well said baba yao yaani very well said!Massau ameponzwa na usafi wake. Baada ya wakuu wa serikali kugundua kuwa mradi wake hauna ten percent na ungesababisha kamisheni wanayopata toka Apollo India kuyeyuka wameamua kumwekea ngumu. Haya ni matokeo ya kuwa na watawala wasioona mbele wala kujua waendako zaidi ya kutumia masaburi kufikiri badala ya vichwa. Mungu yupo atafanikiwa. Kuna haja ya kuitisha harambee za kusaidia ujenzi wa kituo hiki muhimu ambacho si muhimu kwa Tanzania tu bali ukanda mzima. Huyu angekuwa Kenya au Rwanda asingekuwa anahangaika kama anavyofanya.
Texas Heart Children's Hospital Yaisaidia Vifaa Vya Tiba Ya Moyo Ya Dr.Ferdinad Masau Heart Institute