Tunaweza fanyaje ili kusolve tatizo la bei za Mazo ya Kisiasa kama Mahindi?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,917
Mahindi ndo zao kuu la chakula, na ni zao la Kisiasa.

Ni zao la kisiasa kwa sababu Serikali lazima ilinde bei.

Chakula kinatajwa kama moja ya Siraha za Mangamizi au Mapinduzi.Hivyo nchi nyingi sana huwa zinachukua tahadhari ya Bei ya chakula kikuu au upatikanaje wa chakula kikuu.

Kuna Historia za mapinduzi mengi yaliyo sababishwa na Uhaba wa chakula au bei ya chakula kuwa juu sana.

EXPORT LIMIT/EXPORT QUOTAS
Hii iko nchi nyingi sana na si Bongo tu, Nchi kama Russia ambao ni wazalishaji wakubwa wa Grain au Ngano hiwa wana Export limit na baada ya hapo ngao inapaswa kuuzaa Ndani ya nchi pekee.

SASA TUNAWEZA FANYA NINI?
f911c295d2287ecc15791ee6fdefc312.jpg

Njia pekee ya kusolve Bei ni kulima mahibdi kwa ajili ya kulishia Mifugo yako.

Unaweza fuga mifugo kama
- Ng'ombe
-Nguruwe
-Mbuzi
-Samaki

Na hii mifugo time ya kuuzwa ndo hapo caliculation ya faida itafanyika.

Yaani faida ya mahindi utakuja kuiona kwenye Maziwa, Kuuza nguruwe, Kuuza Ng'ombe, kuuza kuku na kuuza mayai ya kuku au Vifaranga.

Gharama za kuzalisha mahindi na faida yake itakuja juwa calculated kwenye Output hapo juu.

6c9f9b691c3091a1205c6aaddc7548f2.jpg


e1179e3d08b9d4162c9618f668c28e1f.jpg


Hii inaweza kuwa njia nzuri sana ya kukwepa Bei za za chini kabisa za mahindi.
 
ndama mpaka afike hatua ya kutoa maziwa utakuwa umeshalima heka ngapi?

Tanzania bado ni inchi maskini hatujafika hatua kulishia ng'ombe mahindi.

Kuna watu wengi sana Tanzania wanakosa hayo mahindi/unga kupata msosi.

ni good idea lakini.
 
Back
Top Bottom