Tumechoka kutumiwa kama mtaji wa wanasiasa kujinufaisha. Maisha yamekuwa magumu; hatuna maji, umeme ni kero, bima za afya ni mbovu, elimu imeshuka thamani, hakuna ajira.
Tafadhali CHADEMA mje vijijini nasi tupate kupaaza sauti zetu. Tupo tayari kuchangia gharama za maandamano ikibidi.
Tafadhali CHADEMA mje vijijini nasi tupate kupaaza sauti zetu. Tupo tayari kuchangia gharama za maandamano ikibidi.