Tunawahitaji nyumbani hawa

Umenikumbusha move ya Undisputed Redemption iliyochezwa kwenye Gereza la Gorie Tbilisi kuna watu wamehukumiwa kwa Double murder and Robbery na hukumu zao ni life and hard work
 
Sasa hawa sisi huku wa nini kama ni majambazi si wamalizane nao tu huko huko.@Mshana jr kwa hiyo wamekuagiza uwafanyie kampeni ya kurudi home waje kutusumbua.
Tunawahitaji nyumbani [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…