Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,438
Baada ya kuondokewa na legendary Eusebio, rais wa nchi ya ureno amejitokeza hadhalani na kutangaza siku 3 za maombolezo na bendera itapepea nusu mlingoti ktk kipindi hicho.
Je kwa hapa kwetu kinawezekana serikali kufanya kitu km hiki.
Je kwa hapa kwetu kinawezekana serikali kufanya kitu km hiki.