kambale

Matthews Kambale (born 27 December 1952) is a Malawian former long-distance runner.
At the 1972 Summer Olympics in Munich, Matthews ran the men's marathon, finishing in 56th place with a time of 2:45:50. Kambale competed in both the 10,000 metres and the marathon at the 1984 Summer Olympics in Los Angeles: He finished twelfth in heat two of the 10,000 metres and so failed to qualify for the next round, and he did not complete the marathon.
He finished 26th in the 1982 Commonwealth Games marathon.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama unapesa ya kufuga na kulima mpunga wezesha ufugaji wa samaki anaitwa Pangasianodon hypophthalmus jamii ya kambale

    Samaki wanasaidia kuleta mbolea yenye gesi kustawisha mazao kama mipunga,mazao ya kumagria kama maji yake ukiweka kwenye majabari ya mpunga. Hii mbengu ni aina ya kambale ila mtanishukuru inaitwa Pangasianodon hypophthalmus.Ndani ya miezi sita inaweza kufikia 10-20 na sio jamii ya hapa inatoka...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nani mwemye mamlaka ya kuthibitisha wamekamatwa na ushaidi wanatumika au kufanya makosa.Maana kila mtu kawa kambale kuwa msemaji.

    Nikama uwezi kuelewa yupi IGP,RPC,OCD,Mwanajeshi,polisi,RC,DC, Mwaipopo, mwenyekiti wa kikundi cha bra bra mpaka raisi na waziri wake. kila mtu anakuja itelenjesia zake na uthibitisho wake. Huyu alishasema wageni,pesa zimetumwa,watu wamelipwa,mtu kapewa usd milion 1,mwaka jana kasahau sinema...
  3. Zero IQ

    JamiiForums Tanzania Siasa Siasani, Mama kambale, Mtoto kambale, wateule Kambale wote wanajiona sawa

    Hakuna wa kushauri, hakuna wa kukemea, hakuna wa kutoa kauli ya mwisho , Wote wanajiona wana nguvu sawa. Nyumba isiyo na Baba, hata Mama akipewa mamlaka bado atajiona ni Mama tu . Tumeyakanyaga, tumeipenda wenyewe lazima tuinywe. Cc Zero IQ.
  4. XYZ987

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaranga bora wa sato na kambale

    Nawasalimu wote, Tunazalisha na kufuga samaki aina ya Sato na Kambale. Vifaranga wanapatikana kwa bei ya Tsh 250 tu.. Ukichukua zaidi ya 1000 bei inapungua.. Tunapatikana Pwani Kibaha ,ila tunao uwezo wa kukusafirishia popote. Karibu inbox tuyajenge... Asante
  5. Xi jiping

    JamiiForums Tanzania Nikifugia samaki kwenye kisima watakubali? Kambale

    Wakuu kisima changu kimejaa vyura kibao. Sasa nimewaza badala ya kujaza vyura si bora nifugie samaki. Maana kama vyura anaweza ishi samaki pia anaishi. Nataka nitafute niweke Kambale maana ndo naambiwa wana roho ngumu wanaishi hadi kwenye majaruba ya mpunga. Ushauri
Back
Top Bottom