Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Duh mwenye nyumba kawa dalali
Ngoja nikusadie kidogo mkuu, huwa tunawaomba au kulipa hawa mastaa au watu wanaojulikana kuweka matangazo yetu kwenye page zao.kwahyo kama unaona tangazo na umependa we mtafute unaona anaweza kuwa mzuri kwako..mimi siwezi kumzungumzia ila ninachojua nyumba inauzwa na kila mtu anao wajibu wakutafuta mteja.
 
Nimekuelewa mkuu
 
Wewe kama wewe umeshidwa vipi kuicomvert kwenda tsh ndo uweke tangazo
Mkuu hivi unajua dollar inabadilika thamani kila kukicha zidi ya Tsh yetu? Karibu uone nyumba mkuu kama hela unazo ila pia ninazo zinazouzwa kwa sh na bei ndogo tu kuanzia Tsh 16m na kuendelea.
Maisha yanaendana na uwezo wako..Biblia inasema tusinuie makuu kuliko uwezo wetu.haya mengine tuwaachie wenye uwezo nayo
 
Back
Top Bottom