INAUZWA Ng'ombe bora wa maziwa wanapatikana

munroe

Senior Member
Apr 3, 2019
101
68
Habari za majukumu ndugu Wana jamvi, poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Tunauza ng'ombe bora wa maziwa hapa rungwe mkoani mbeya tuna ng'ombe aina mbali mbali wanaotoa maziwa mpaka lita 20 kwa siku na bei zake ni rafiki

Tutafute kwa namba 0756416149
Kalibu upate ng'ombe bora kwa ufugaji wenye tija.

1666943168557.png
 
Je ng'ombe wenu wanastahimili mazingira ya Dar? Je mfugaji wa Dar mnamshauri afanye nini aki chukua ng'ombe wenu. Mwenye mimba ya miezi 3-6 mnamuuzaje on average
 
Je ng'ombe wenu wanastahimili mazingira ya Dar? Je mfugaji wa Dar mnamshauri afanye nini aki chukua ng'ombe wenu. Mwenye mimba ya miezi 3-6 mnamuuzaje on average
Ndio ng'ombe wetu wanastahimili vizuri mazingira ya dar na wateja wetu wengi wanatoka huko na mifugo yao inaendelea vizuri

Tutakushauri namna sahihi ya kutunza mifugo yako kuanzia mabanda, marisho na madawa

Ng'ombe wa mimba wapo kuanzia mwezi mmoja hadi tisa wanauzwa ila bei zake zinatofautiana kutokana na sababu mbali mbali kwa maelekezo zaidi tuwasiliane
 
Hapana haumwi ila ng'ombe wenye asili ya maziwa mengi wanakuwa hivyo endapo kama hajapata special care
Hilo neno "kama hajapata usimamizi mzuri" special care
Mkuu ng'ombe anaekupa maziwa na faida kwa kukuingizia kipato utamuachaje awe hivyo
Inasikitisha sana ila umesema ukweli
Hebu angalia tofauti hapa kwa huyo na huyu
Screenshot_20221028-063629_Google.jpg
 
Ng'ombe wetu ni bora na nafuu hata milion Tano hawajafika hakuna mtu aliewahi uziwa kwa gharama hizo, kwa mtu alie serious atutafute na atapata maelezo yote kutoka kwetu moja kwa moja, 0756416149
 
Hilo neno "kama hajapata usimamizi mzuri" special care
Mkuu ng'ombe anaekupa maziwa na faida kwa kukuingizia kipato utamuachaje awe hivyo
Inasikitisha sana ila umesema ukweli
Hebu angalia tofauti hapa kwa huyo na huyu View attachment 2402099
Ndugu uzalishaji wa huyu na yule tofauti yule anafika lita 21 kwa siku ambapo ukimchanganya na huyo ukawapa mahitaji yalio sawa Kuna mmoja ata maintain wakati mwingine atapungua
 
Msidanganywe, hakuna ngombe kutoka mbeya anayeweza kukupa lita 20 kwa siku.

Utapigwa afu utaishia kulia na mavet
Mastitis
Chakula
Etc

Utawakuta pale Ubungo bucha ya nguruwe, wana maneno mengi ya uongo uongo
 
Back
Top Bottom