Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

Kwa bei hio si madalali wanaipakua chap tu, tena hata kwa 7.5 kama haina shida. Hii mtu atapigwa na kitu kizito
 
Sio utapeli ndugu yangu gari ipo na kabla hujanunua unaruhusiwa kuiangalia na kuikagua kama umeridhika nayo na unaitaka ndo unaweza kufanya malipo na ukaichukua gari....kumhukumu mtu kwa kitu ambacho hukijui ni dhambi pia
Wewe ni tapeli gari ipo ofisini kwetu magomeni na haiuzwi bei hyo wewe unakujaje kuitangaza kwa 5m?
 
Mbona zinauzwa bei chee sana hizi? Ni wese tu au?
 
Habarini Wana JF gari kall aina ya AUDI ipo sokoni karibuni umiliki gari yenye Hadhi kubwa kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…