adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,616
heshima yenu mabibi na mabwana!
Tunauza na kusambaza Gas Valve Gauge hapo juu pichani.
valve hizi ni bora imara na salama kwa matumizi ya majumbani na maofisini.
pia itakusaidia kujua matumizi yako ya kila siku ya gesi na kufahamu kiasi kilichobaki ili ujiandae.najua wote tunafaham gesi ikiisha ghafla inakuwaje basi hii ndio mkombozi wako.
bei zetu ni 25000@kwa walio moshi kilimanjaro.mikoani pia tunasafirisha na bei itakuwa 30000@.pata kifaa hiki ili uepuke kuishiwa gas ghafla.karibuni