Mbona hakuna mwenye kitambi hapo, ulishakutana na ile kitu iliochorwa alama ya X (bomoa) na TANROAD?....watu wana vitambi bwana.
Ngoja nikupe accessNinekuja pm, nikashangaa bonge la onyo eti siwezi kukutumia pm!!![emoji616][emoji616][emoji616][emoji616]
Daah! ♂️
Mbona picha za juu wamelazimisha vitambi vitokeze na pocha ya chini wamevibana??
Hatutibu hivyo sisi
Mimi sina kitambi mkuu, nitawajatibia wenye vitambi
Imefungwaa,,mpaka ufungue,,nenda kwenye privacy utaona halaf utoe,,tumia googleMimi sijafunga, labda kama nimefunga bila kujua, em nipe access