as2
Senior Member
- Nov 21, 2015
- 109
- 56
- Thread starter
- #61
MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA KABLA YA KUWEKA VIFARANGA KWENYE BWAWA LA SAMAKI
1.kuweka chokaa kwenye bwawa
2.kuweka maji
3.kurutubisha maji
4.kuakikisha vifaranga wako salama
Kuweka chokaa kwenye bwawa,,ni hatua ya kwanza kabla aujaweka maji
~chokaa inasaidia kuua vijidudu au vimelea atari kwa samaki mfano,:bacteria, fangasi n.k
~chokaa usaidia kuweka sawa/kurekebisha kiwango cha pH ktk bwawa
Kuweka maji katika bwawa ni hatua nyingine,,maji yasiweke na kujazwa kabisa,,weka maji kulingana na kina cha bwawa lako mfano bwawa la 1.5 weka maji 1.2m au bwawa la 1.0m weka 0.8m
Kurutubisha maji,,hii ni hatua muhimu bwawa nivizuri lirutubishwe ili kuongeza au kupatikana kwa chakula cha asili kwa samaki,,maji yakirutubishwa yatatengeneza vimelea vidogo ambavyo ni chakula cha samaki.
~Maji yana rutubishwa kwa kutumia mbolea,unaweza ukatumia mbolea ya asili na isio ya asili.Mfano wa mbolea ya asili ni kinyesi kutoka kwa mifugo kama kuku,ng'ombe,mbuzi n.k
Mfano wa mbolea isio ya asili ni UREA au NPK n.k hizi zinawekwa kwenye bwawa kulingana na ukubwa wa bwawa.
~Baada ya wiki au zaidi maji yatabadilika rangi nakua na ukijani apo ni sawa yapo tayari kwa kuweka vifaranga
Kuhakiki vifaranga kama viko salama,,unatakiwa uhakiki usalama wa vifaranga kabla aujaweka,vikiwa salama weka kwa kufwata utaratibu,,ila kama aviko sawa nilazima atua zinazotakiwa zichukuliwe kuonkoa au kuviweka viwe sawa.
KWA AYO MACHACHE NAFIKILI MTANIELEWA.