Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

Ndio mkuu nngependa kujua

Sent from my KIW-L21 using JamiiForums mobile app
Kwa bwawa la sqm 100(Lina weza kukaa Sato 1000)wasiozaliana

Kwa ujenzi wa kutumia tofali
Lina gharimu 3.5mil
Kwa ujenzi wa kuchimba na kuweka nylon linagharimu 2.7mil
Kwa kuchimba tu(kwa sehem za udongo mfinyanzi) 1.3mil
 
Bwawa likiwa limewekwa wavu kwa juu
Ili kuzuia ndege
Ili kuzuia uchafu(majani,miti)
Ili kupunguza wadudu(wakubwa)n.k
IMG_20180927_154424.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu juu ya ufugaji samaki/miradi ya samaki
~aina ya samaki wanaofugwa hapa nchini(maji baridi/maji chumvi)
~Ufugaji wa kisasa/kibiashara
~umuhimu wa samaki katika jamii zetu,,
~Hatua za mwanzo kabla ya kuanza ufugaji
~mambo yakuzingatia wakati wa ufugaji
~uvunaji
~masoko
Aina za mabwawa
~mambo ya kuzingatia kabla haujajenga bwawa
~kanuni za ujenzi wa bwawa
~picha au taswira ya bwawa
~ujenzi wa bwawa Bora
~hatua ya uingizaji maji na utoaji

Chakula Cha samaki
~chakula Cha asili/kisicho Cha asili
~mchanganyiko wa virutubishi vya chakula
~ulishaji(kwa uwiano wa samaki,uzito)

Vifaranga bora
~kutambua vifaranga bora
~ukuzaji

✓Ni elimu ambayo inatolewa ili kumpa mfugaji uelewa na mafanikio katika miradi ya ufugaji samaki
IMG-20180925-WA0033.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
VIFARANGA VYA SATO VINAPATIKANA

Mixed sex(jinsia tofauti/wanaozaliana) kwa 200Tsh

Mono sex(jinsia moja/wasio zaliana) kwa 250Tsh
Location:kigamboni
Contact:0714420808/0789290156
 
Ni mabwawa 2 ya ukubwa wa mita 5*5
Sato(monosex)500*500
 
Hongera sana mkuu, vipi mbeya unafika?
Ushauri,

Utengenezaji wa mbwawa ya samaki, chakula cha samaki.

>Kwa kupata huduma hizo tutafute kwa namba ya simu-0714420808/0789290156
 
Tunatoa huduma zifuatazo kwa ufugaji samaki
IMG-20201122-WA0004.jpeg
 
Je bado uko na hii kazi?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom