Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

Ushauri,

Utengenezaji wa mbwawa ya samaki, chakula cha samaki.

>Kwa kupata huduma hizo tutafute kwa namba ya simu-0714420808

Mkuu ungetaja at least ukubwa wa mabwawa na bei na mpo wapi. Nadhani ingevutia sana.
 
Nataka ushauri nagharama za ufugaji wa samaki Aina ya sato. Asante

Vyanzo vya vifaranga ni kutoka katika mito, bahari, maziwa na wale wa kuzalishwa katika vituo vya kuzalishia vifaranga.
Sato na Kambale. Kifaranga huuzwa Tsh. 50-100 kwa kifaranga.
Vituo vya serikali Utapata sato wa kike na kiume mixed sex).
  • Kingolwira - Morogoro
  • Luhira - Songea
  • Mbegani - Bagamoyo .
Vituo binafsi kama vile Faith aquaculture-Kibamba (DSM) (utapata monosex sato), Peramiho Songea (mixed sex). Monosex huuzwa Tsh. 200 kwa kifaranga, na mixed ni100 kwa kifaranga.

Maelezo zaidi tembelea
 
Wakulima wengi wa samaki wameshindwa fanikiwa sababu yakufuga samaki wanaokusanywa toka kwenye mito na maziwa. Hakikisha kma unataka kufuga tafuta mbegu bora iliyozalishwa kutoka kwenye parents ambao ni genetically improved.
 
Aisee, nikianzisha hii biashara kutumia simtank si natoka kabisa
 
soko la samaki linaongezeka,na uhitaji kuwa mkubwa,,sasa watu wameamka na teknolojia mpya ya ufugaji wa samaki kwenye mabwawa,,ni ufugaji unaoongeza kipato ukiuzingatia.wapo wataalam wengi wanao toa ushauri,wanaotoa huduma kama utengenezaji wa mabwawa ya samaki,uuzaji wa vifaranga vya samaki,,au kuzalisha samaki,,kufanya tathmini ya miradi ya ufugaji wa samaki n.k
unaweza wasiliana nao kupitia namba zao za simu 0714420808 au 0689842308
 
Wakuu, vp kuna samaki broiler? Maana duh kukasubiri ka fish kakue ni miezi mingi ukilinganisha size yake na gharama utakayouza na pia huwa nasikia kuna kudumaa.... Ndio vinatoka size ya kidole na hapo unaambiwa kana miezi 8 na kana watoto.
 
nitafute kwa namba hizo juu nikupe mchanganuo wa vitu vinavyo hitajika na gharama za bwawa linalochukua samak 50000,,na nirazima nijue jografia ya eneo lako mkuu benjamin
 
Wakuu, vp kuna samaki broiler? Maana duh kukasubiri ka fish kakue ni miezi mingi ukilinganisha size yake na gharama utakayouza na pia huwa nasikia kuna kudumaa.... Ndio vinatoka size ya kidole na hapo unaambiwa kana miezi 8 na kana watoto.
nikwel vipo vifaranga vinavyo dumaa,,hii genetical disorder,,na ni kwaviumbe vyote,,soko la samaki linakuwa kwa sasa ukilinanisha na zamani,,ulishaji na matunzo mazur ya samaki ndio matokeo mazuri ya ukuaji wa samaki wako
 
29d787333a351dc044d09f3a504acfc0.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom