Sales man
JF-Expert Member
- Aug 27, 2025
- 570
- 845
Kwahiyo unamuita binadamu mwenzako chawa ni sahihi?Papasi/kunguni
Kwahiyo unamuita binadamu mwenzako chawa ni sahihi?Papasi/kunguni
Kwasababu unasapoti kutiki oktoba wakati wenzio tunapambania reformsKwahiyo unamuita binadamu mwenzako chawa ni sahihi?
Kwahiyo kosa lipo wapi hapo mkuu , unaamini reform utazipata kwa I'd fake na kukomenti ?Kwasababu unasapoti kutiki oktoba wakati wenzio tunapambania reforms
Kwasababu hazipatikani hivyo ndiyo tusapoti kutiki bila reforms, huku tukijua uchaguzi siyo wa haki?Kwahiyo kosa lipo wapi hapo mkuu , unaamini reform utazipata kwa I'd fake na kukomenti ?
Jumatatu itakuwa haifunguki kabisaaKwa Sasa Ndani ya mitaa ya Netherlands.
Imeshapigwa pin.Mbona bila VPN inagonga mzigo fresh tu
Kwahiyo MTU akitiki anakuwa amefanya makosa gani huo ni Uhuru wa MTU .Kwasababu hazipatikani hivyo ndiyo tusapoti kutiki bila reforms, huku tukijua uchaguzi siyo wa haki?
Iko fasta sana, ukigusa imoHii sijawahi kuitumia ngoja niijaribu, hebu nitumie picha niione ni ipi
Asante mkuu ngoja niidownloadIko fasta sana, ukigusa imo
View attachment 3466821
Ishu siyo kuwa sisiemu wala chadema mimi naongelea uchaguzi huru na wa haki, watanzania wote tuungane tudai katiba mpya No reforms no election tukatae uhuniKwahiyo MTU akitiki anakuwa amefanya makosa gani huo ni Uhuru wa MTU .
Haujaona Mama Chadema baba Ccm hao wanasiasa unaowaona wao hukutana na kula na kunywa haujaona chadema Mara kibao wakienda ikulu?.
Acha upumbavu unadai katika mpya bila kuingia barabarani unategemea mabadiliko yatapatikana kupiti I'd fakeIshu siyo kuwa sisiemu wala chadema mimi naongelea uchaguzi huru na wa haki, watanzania wote tuungane tudai katiba mpya No reforms no election tukatae uhuni
Tar 29 oktoba ndiyo siku ya maandamano ya kitaifa lazima niandamane, no reforms no electionAcha upumbavu unadai katika mpya bila kuingia barabarani unategemea mabadiliko yatapatikana kupiti I'd fake
Kama upo Tanzania "Mkata Swichi" hajakufikia tu mkuu.Mbona bila VPN inagonga mzigo fresh tu
,Kwangu bado iko hai.Unajua wakati hii taarifa inatoka VPN yangu huwa connected muda mwingi kwa sababu ya matumizi ya X (twitter)
Nikaona nateleza tu JF sikuelewa
Nikajaribu kuizima VPN na kweli JF haikufunguka
Kwa sasa nikiwa Tanzania VPN ni ON 24/7 kwa ajili ya X na JF
Sawa, ni SECURE VPN,Kwangu bado iko hai.
Incase of emergency ni vpn gani unatumia mkuu
Mkuu, niko Eiffel Tower, France 🇫🇷Kwa Sasa Ndani ya mitaa ya Netherlands.
Post ziongezeke sasa, ns Moods hakuna kufuta Uzi wowote ule, mkifuta mtaiambia serikali mliwezaje kufuta post ilihal imewafungja.Mambo ni mengi mda ni mchache twende kazi