Shammy-
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 7,179
- 18,850
Tuagane basi 😅Naona bado hawajaanza kazi
Tuagane basi 😅Naona bado hawajaanza kazi
Mimi Kaka October nitatiki sitaki makuu na watu bwana .
Konyagi zenyewe zimeadimika nisije potezwa alafu ziiapatikana kwa wingi bure
Nimewasha vpn hapa,
TCRA hawajui kufungia mitandao
Wanaishi kijimaNimewasha vpn hapa,
TCRA hawajui kufungia mitandao
Acha kuangalia pornTulishazoea, mimi ya kwangu ninayo tokea 2020 hakuna jipya.
Sitaki machawa kwanguAppetite
Kwaheri ya kuonana🥲 ila nasikia ukiwa na VPN unaingia kama kawaida tuTuagane basi 😅
Hapo sawa ngoja ni downloadKwaheri ya kuonana🥲 ila nasikia ukiwa na VPN unaingia kama kawaida tu
Download TURBO naona kama iko poa na location unachagua London ndo ipo speedHapo sawa ngoja ni download
Log out afu ingia tenaMbona bila VPN inagonga mzigo fresh tu
Hata thunder unajiamulia tu utokee London, Germany nkDownload TURBO naona kama iko poa na location unachagua London ndo ipo speed
Chawa maana yake nini?Sitaki machawa kwangu
Hii sijawahi kuitumia ngoja niijaribu, hebu nitumie picha niione ni ipiHata thunder unajiamulia tu utokee London, Germany nk
Papasi/kunguniChawa maana yake nini?
Mimi niko TokyoKwa Sasa Ndani ya mitaa ya Netherlands.