Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,681
- 1,698
Utasikia penye shughuli ya ufunguzi labda wa daraja watawala wakisema wanatekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM, hii ina maana gani?
Ninavofahamu masuala ya uchaguzi yana muda wake sasa hao wanaoendeleza suala la uchaguzi wakati sio wake hawavunji sheria?
Ninavofahamu masuala ya uchaguzi yana muda wake sasa hao wanaoendeleza suala la uchaguzi wakati sio wake hawavunji sheria?