Rais Samia ungana nami ili kwa pamoja tumuombe Allah atupe Malaika wake aje kuwa Mkombozi na Mtatuzi wa Kero ya tatizo la Kukatika Umeme Kipuuzi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,130
Ni Wiki sasa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam ( nadhani na Kwingineko nchi nzima ) tumejikuta tunakatiwa Umeme hovyo hovyo na TANESCO huku Waziri husika ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na mwana SAUT Mwanza ( nikiwa mbele yake kwa miaka Miwili ) na mwana Simba SC Mwenzangu akiwa anabung'aa bung'aa tu.

au tumuombe Mtume wao Mwamposa Kesho katika Mkesha wake wa Vuka na Kila Kitu chako basi kama ana Jeuri hiyo atuombee kwa Mungu wake tumpate Waziri sahihi wa Wizara husika na Mkurugenzi Mkuu sahihi wa TANESCO.

Tanzania kununua Silaha ( hasa Miguu ya Kuku ) kungekuwa ni Jambo la kawaida nina uhakika kwa Kero za baadhi ya Taasisi ( tena zenye Umuhimu na Unyeti wake ) kwa Taifa na Watanzania nina uhakika kuna baadhi ya Watendaji Wahusika hivi sasa wangeshakuwa wameshayaanza Maisha yao Udongoni Makaburini.

Inakera sana TANESCO tumewachoka!!!!
 
Tatizo la umeme sio Mawaziri wanaoteuliwa Mkuu, tatizo la umeme ni Serikali kuu ya Mama yetu Samia Suluhu.

Mawaziri hawana power ya ku-allocate resources ziende kwenye kutatua adha ya umeme but Central Government inaweza.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Hakuna kumuomba Allah....atulie nyumbani atatue matatizo ya ndani ya Tanzania....Rais gani kutwa kuzurura tu nchi za nje? Magu aliwezaje aka 6 bila mgao?
Ukiona uzembe huku chini ujue Rais mwenyewe ni dhaifu....
 
The great aka the king kaeleza vema kabisa kuhusu kero ya umeme.Naunga mkono hoja.
GENTAMYCINE nikisema jua 100% ya Geniuses wamesema sawa Mkuu wangu? Tuko wachache sana duniani na hasa hapa Tanzania / Afrika na huwa tunachukiwa sana na Wapumbavu na Kuwindwa kumalizwa kwa kuchukuliwa Kibabe na Kikatili Pumzi zetu tukuka.
 
Hakuna kumuomba Allah....atulie nyumbani atatue matatizo ya ndani ya Tanzania....Rais gani kutwa kuzurura tu nchi za nje? Magu aliwezaje aka 6 bila mgao?
Ukiona uzembe huku chini ujue Rais mwenyewe ni dhaifu....
Una Akili sana Mkuu na utafika mbali.
 
Back
Top Bottom