Tunataka kile usichokuwa nacho

mume wangu ni story ndefu ...
hawezi kufilisika sababu nipo nyuma yake na anafuata maelekezo na anajua kuwa pesa inanivuta so huwa tukaa pamoja na kuweka mikakati ya pesa mezani,, hakuna utani kwenye mambo ya pesa
Hongera kwa hilo maana nilishaanza kumuonea huruma mwanaume mwenzangu kutokana na itikadi zako.

Ila mkuu mtangulize Mungu mbele zaidi kuliko pesa maana yy ndio kila kitu.
 
Hongera kwa hilo maana nilishaanza kumuonea huruma mwanaume mwenzangu kutokana na itikadi zako.

Ila mkuu mtangulize Mungu mbele zaidi kuliko pesa maana yy ndio kila kitu.
amina mkuu .. ila tu angekuwa hafuati maelekezo ningemuacha
 
Hahahaha,i can't imagine kumuona miss chaga katika kundi la single mothers, nafikiri JF itasimama kwa muda.
nitaanza kampeni ya single mother kuwageuza chuma ulete .. na ile sheria ya itaanza kufanya kazi kihalali
 
niombeeni mema tu sababu wakaka mliozalisha bila kuisha na wenzi wenu mtaimba haleluya
Naomba mungu hilo lisifanikiwe sbababu najua idadi kubwa sana ya vidume humu JF wanaowaponda single mothers ndiyo wahusika wakuu.
 
Bora kununua tu haina longo longo tatizo tu ni kondom utamu nusu ila unasogeza siku vizuri.
 
nitaanza kampeni ya single mother kuwageuza chuma ulete .. na ile sheria ya itaanza kufanya kazi kihalali
Ukute huyo baba wa mtoto ni bodaboda alafu kutwa yupo na karatasi za muhindi anabet mkeka wa timu 17 kwa sh. 500 itoke milioni 20 na kipensi chake..sijui nani ahapo atakuwa chuma ulete mama mtoto au baba mtoto!
 
mama mtoto hivianay way naweza onekana nadharau .. wanasemaga eti mapenzi upofu
 
Mkuu;
Yaonesha umewahi unguzwa kwa maji moto. Sio wote mkuu, wapo akikupenda ameamua kweli kweli. Alichosema miss chagga ni kuwa, kama utafanikiwa kumpata huyo wa kweli, mkamatieeeee usimwachie ati kwa sababu ya viruka njia. Angalia unavutiwa na nini kule nje, wekeza kwa huyo wako.
Ila mahali nataka nimfundishe miss chagga ni kuwa, kwetu wanasemaga; Nyama ya wizi, nitamuuuuu yaani mpaka baasi. Tutarepearepea zetu za ndani lakini nje, wizi lazimaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…