Tunatafuta yeyote mwenye kuweza kukusanya email za makampuni afrika mashariki na kati

cerengeti

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,878
1,622
Fursa kwa graduates na wasio na Ajira

Tunatafuta graduate au yeyote mwenye kuweza kazi ya kukusanya anuani za email za makampuni mbalimbali na wahusika katika makampuni hayo katika nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi , malawi, zambia , mozambique ,comoro na Congo DRC.

Majukumu.

1. Kutafuta E-mail address ambazo ni valid za makampuni na wahusika katika makampuni zisipungue 1,100,000. ziwe katika softcopy yaani excel, au csv format.

Maelezo Zaidi:

1.Anaweza kuchagua nchi moja kati ya hizi tajwa.

a. Tanzania - email 500,000
b. Kenya - email 800,000
c. Uganda - email 200,000
d. Rwanda - email 100,000
e. Congo DRC - email 300,000
f. Burundi - email 50,000
g. zambia -email 300,000
h. mozambique - email 200,000
i. malawi - email 100,000
j. comoro - email 50,000

2.Vitendea kazi kama business directories, computer & internet juu yake.
3. Muda wa kazi hii ni miezi mitatu kuanzia 15 march 2017 hadi 16 july 2017
4. Anaweza kuifanya hii kazi akiwa mahali popote.
5. Mwenye kuwa tayari kufanya hii kazi aseme ni bei gani (Tsh) ataweza kuifanya kazi hii.

Maombi yote yaelekezwe kwa anuani ifuatayo:

bluebase information services,
wigotz@gmail.com,
mobile : 0655 308308.

Mwisho wa kupokea maombi haya ni tarehe 15 march 2017
 
Naweza wakusanyia emails nikawatumia halafu mkanitosa kwakuwa mshapata mlichokuwa mnahitaji!!
 
hiyo kazi au kupumuliwa
 
Back
Top Bottom