Tunatafuta wafanyakazi

Tunatafuta wafanyakazi

Salam

Tunatafuta wafanyakazi wa kada zote

1-Walinzi,Mawaiter,Macleaner,Magardener,Drivers,PVC Technicians,Secretaries,Receptionist,Guest Helper

2-Wahasibu,Mastoo Keeper,Operations,Office Assistents,Legal Officers,Marketing Officers

3-General Managers,Financial Controller,Chief Accountants,Auditors,Lawyers

4-Business Advisers,Hr Managers,Teachers,

Tuma Barua , CV yako ikiambatana na scanned copy ya vyeti vyako kwa email yetu ya lenjentz@gmail.com

hiyo orodha yako uliyotaja mbona siyo kada zote kama ulivyojinadi mkuu?
Kuapply kazi kwa mujibu wa hili tangazo na uwendawazimu na kujitoa ufahamu kwa ujumla wake.
 
if u can, apply.. Kama huwez nenda utumishi, nafasi 2 watu 2250 kwny interview
 
Salam

Tunatafuta wafanyakazi wa kada zote

1-Walinzi,Mawaiter,Macleaner,Magardener,Drivers,PVC Technicians,Secretaries,Receptionist,Guest Helper

2-Wahasibu,Mastoo Keeper,Operations,Office Assistents,Legal Officers,Marketing Officers

3-General Managers,Financial Controller,Chief Accountants,Auditors,Lawyers

4-Business Advisers,Hr Managers,Teachers,

Tuma Barua , CV yako ikiambatana na scanned copy ya vyeti vyako kwa email yetu ya lenjentz@gmail.com

Mkuu nime2ma ya kwangu leo
 
yani ndugu yangu hapa umeongea kabisa wengi wa hao huwaga baadaye wanaomba pesa wanaishi kiujanja ujanja mjini kweli shule
mhuuuu,baadae msiwaombe pesa,maana ninavyojua na nyie mnataka kuwafanya wanaotafuta ajira kama ajira yenu,mjini ujanja ujanja tu,mnatumia matatizo ya wenzenu kujinufaisha
 
Tunawashukuru wote mliofika kwa ajili ya usaili

Tunawaomba nyote mnaotuma CV hakikisha namba ya simu uliyoweka kwenye CV yako inapatikana hili limekuwa tatizo unakutana na CV nzuri na mna mteja anahitaji such staff ila tunapiga simu hazipatikani na tunatuma email hazijibiwi.Jitahidini kwenye eneo la mawasiliano ni muhimu sana

tunaendelea kupokea CV

Mkuu
Mimi nimewatumia vijana wangu ambao hawana access kwenye mtandao mbona wao hawajaitwa?
MMOJA ANATAFUTA U DRIVER na mwingine kazi yeyote maana ana cheti cha clearing and forwarding na VETA Usafi
Bado waendelee kusubiri au ndio basi Mkuu?
Asante
 
Tunawashukuru wote mliofika kwa ajili ya usaili

Tunawaomba nyote mnaotuma CV hakikisha namba ya simu uliyoweka kwenye CV yako inapatikana hili limekuwa tatizo unakutana na CV nzuri na mna mteja anahitaji such staff ila tunapiga simu hazipatikani na tunatuma email hazijibiwi.Jitahidini kwenye eneo la mawasiliano ni muhimu sana

tunaendelea kupokea CV

mbona hamuandik vigezo pia n kampun gan?
 
Duh braza naona umekaza tuu...tuma CV...tuma CV.....tuma CV...haya bana wacha watume..
 
Ama kweli nimeamini watu wako desperate na kazi. Haya kila la kheri, watakao fanikiwa tunaomba mje hapa kutoa ushuhuda. Kwa wakati huo tunaomba muweke wazi mmeajiliwa kampuni gani kwani huyu 'mwajiri' hatoa jina la kampuni wala vigezo vya kazi zilizotangazwa.

Sijawahi kuona hii kitu kwa uzoefu wangu wa miaka 7 ya kazini.
 
anafanya research ya watu wasio na ajira, nadhani jamaa atakuwa anasoma masters ya hrm, kwa hiyo anataka kujua ni profesional gani inayoongoza kwa wasio na ajira, believe me!
 
Watu wanapenda sana ku'take advantage kupitia tatizo la ajira.
 
Salam

Tunatafuta wafanyakazi wa kada zote

1-Walinzi,Mawaiter,Macleaner,Magardener,Drivers,PVC Technicians,Secretaries,Receptionist,Guest Helper

2-Wahasibu,Mastoo Keeper,Operations,Office Assistents,Legal Officers,Marketing Officers

3-General Managers,Financial Controller,Chief Accountants,Auditors,Lawyers

4-Business Advisers,Hr Managers,Teachers,

Tuma Barua , CV yako ikiambatana na scanned copy ya vyeti vyako kwa email yetu ya lenjentz@gmail.com

Acha wizi wa mchana weweeeee!
 
Nawashukuru sana nyie ni wakombozi wa watanzania nimepata habari zenu hongereni,watanzania mnaotafuta kazi hakuna toauti ya kutuma na kutotuma cv huku la zaidi ni kuwa ukituma unajiwekea uhakika kama ni kweli wa kupata kazi ila kama sio kweli haikugharimu kitu,Kazi kwenu
 
Mkuu mbona nimetuma siku nyingi? Majibu hakuna au bado mko kwenye mchakato?
 
anafanya research ya watu wasio na ajira, nadhani jamaa atakuwa anasoma masters ya hrm, kwa hiyo anataka kujua ni profesional gani inayoongoza kwa wasio na ajira, believe me!

hahahahah umegusa mahala pake
 
Kweli utaratibu mnaotumia una hali ya kutokuwa na uaminifu, maana nimetuma binti na kaka wakaenda huko walipo hawa watu wakaambiwa watoe 3,000 za form, wametoa hizo hela na wakawaona hao waajiri matokeo yake wanaambiwa kazi zipo lakini mnatakiwa mtoe hela kama 70,000, na mwingine kaambiwa 80,000/ ndipo waunganishwe na waajiri. Jamani hivi kweli mtu hajapata kazi atapata wapi hiyo hela? Na kisha mfano mtu anatoa hiyo hela akienda kwa mwajiri akakuta kazi hakuna je atarudishiwa hela na dalali?
Naomba muache tabia hii ya kuchukuwa kila anayekwenda hapo kumwambia atoe hela 3000/= si vyema na mtu anatoka hajapata kazi na form ni photocopy tu?
 
True true,hiyo recruitment agency itamtoa ila angekuwa mkweli.watu wanahitaji kazi kikwelikweli sio mzaha
 
Thanks God!

Mi nilikuwa natafuta tapeli anifundishe kazi, sasa nimekupata, kweli nina zali.
 
Back
Top Bottom