Tunatafuta wafanyakazi

Tunatafuta wafanyakazi

Acheni kuwachukulia wateja 3,000/= ati ya form. Form moja mmeitoa photocopy kibao kisha,watu mna wa charge tshs. 3,000/ awe amepata kazi au kashindwa kutoa hela ya udalali, ni dhambi kwanini msimhoji mtu na kumpa maelezo kwamba kuna makampuni wanatafuta watu na mnapotaja 80,000 kama mtu hana basi asiwe amepoteza na hela yake ya form- jirekebisheni tabia hii mbaya mnachuma 3,000 kwa watu wasiokuwa na ajira jamani hali mbaya...kuweni na huruma....

Sisi hatuna njaa na shilingi mia mbili za waomba kazi wewe kama mlitapeliwa na wezi sio sisi,tunatafutia watu kazi halafu tuwaombe feza??upuuzi gani huo sisi sio JUA KALI;;
 
tumechoshwa na hii tabia ya watu kutumia matatizo ya wavuja jasho ili kujinufaisha,hii iko au mpaka tu dili nao ndo waache?

Huna akili wewe unabwabwaja bila research utaendelea kuwa maskini wa akili mpaka mwisho wadunia
 
Sio kweli ,nakuomba ufikiri zaidi kusema uongo hapa hakusaidii kitu zaidi ya kuonyesha ujinga na uwezo finyu wa kufikiri

Tafadhali kama una kazi waache wanaosaka wasake ajira kwa amani usiwachanganye watu kwa ongo zako zisizo na maana

naona anakuingilia kwenye anga zako utamfanya hakuna!! we endelea na uwekezaji wako baba 7bu saiv tanzania ni kufa kufaaana!!!
 
Duh jamaa naona anatilisha uchungu manake mnamchana weee yeye anauchuna tu akiibuka tu anatoa 5 principles on how to get the job!
1. We tuma CV
2. We tuma CV
3. We tuma CV tu
4. Nimesema we tuma CV
5. Si nimesema we tuna CV then utaona matokeo yake!
Hahahaha jamaaa huyu ni mbayaaaa
 
Duh jamaa naona anatilisha uchungu manake mnamchana weee yeye anauchuna tu akiibuka tu anatoa 5 principles on how to get the job! 1. We tuma CV2. We tuma CV3. We tuma CV tu4. Nimesema we tuma CV5. Si nimesema we tuna CV then utaona matokeo yake!Hahahaha jamaaa huyu ni mbayaaaa
Hahahaaa sio hivyo man,unajua mijitu mingine inatia hasira sana,sasa kukalia CV yako home na kuituma hapa ipi bora hata kama utakosa kazi si ni bora ujaribu,mimi nawashangaa wanaowakatisha watu tamaa ilhali utakuta yenyewe ndio yalitumaga zamani,kama kuna jamaa nimeliinterview leo likawa halina eye contact,linaona aibu flan hivi nahisi ni moja kati ya mijitu inayoniponda hapa ila liko fit nafikiri nitalipeleka mahali na sitamwambia mwajiri kama jamaa ni mnafki mwache ubaya wake ukamuumbue mwenyewe huko,acheni kuponda bana tuma CV upate kazi.
 
Na wewe umeandika nini sasa hongera kwa kutuonyesha Uchi wa akili yako,yako maneno ningekuambia lakini kwa kuwa uu mjinga endelea na ujinga wako

Typing error ni kwaida. ebu weka cv yako tapeli wewe tuijue.
 
Ama kweli uaminifu umeisha yaan mtu hamjamjua mshasema mwongo mbna JF washatwambia taratibu za kufuata ili kujua matapeli na sio kuvunjiana heshma bure...ni hayo tu..
 
Mbona hamjielez vzur kua nyie kina nani, mko wapi na mnashughulika na nini?
 
Typing error ni kwaida. ebu weka cv yako tapeli wewe tuijue.

akili zikiwa huko kwa kutolea haja kubwa utajua tuuu,sasa unagombana na mtu hata humjui yeye kasema tumeni CV sasa wewe kama hutaki si unaacha tuu mpaka uonyeshe kuwa unavutiaga yale majani chooni??
 
Mbona hamjielez vzur kua nyie kina nani, mko wapi na mnashughulika na nini?

akueleze nini na wwewe kipata kama unataka kuanika CV anza ya kwako ya mama yako na za dada zako halafu ndio uamuru watu hapa JF waweke CV
 
Ama kweli uaminifu umeisha yaan mtu hamjamjua mshasema mwongo mbna JF washatwambia taratibu za kufuata ili kujua matapeli na sio kuvunjiana heshma bure...ni hayo tu..

Mijitu mijinga sana unajua yamezoea kutapeliwa na CCM basi hata wajasiriamali wadogo wanapotaka kutafuta fursa wanadhaniwa ni wajasiriaCCM balaa sana magamba
 
Hahahaaa sio hivyo man,unajua mijitu mingine inatia hasira sana,sasa kukalia CV yako home na kuituma hapa ipi bora hata kama utakosa kazi si ni bora ujaribu,mimi nawashangaa wanaowakatisha watu tamaa ilhali utakuta yenyewe ndio yalitumaga zamani,kama kuna jamaa nimeliinterview leo likawa halina eye contact,linaona aibu flan hivi nahisi ni moja kati ya mijitu inayoniponda hapa ila liko fit nafikiri nitalipeleka mahali na sitamwambia mwajiri kama jamaa ni mnafki mwache ubaya wake ukamuumbue mwenyewe huko,acheni kuponda bana tuma CV upate kazi.

Mijitu ina wivu tuu kamanda komaa hiyo ni fursa wasaidie watu na weew ujipatie kipato kwa WAAJIRI tafadhali zingatia USICHUKUE FEDHA ZA WANAOTAFUTA KAZI ni dhambi
 
Mijitu ina wivu tuu kamanda komaa hiyo ni fursa wasaidie watu na weew ujipatie kipato kwa WAAJIRI tafadhali zingatia USICHUKUE FEDHA ZA WANAOTAFUTA KAZI ni dhambi

Mkuu naona umetumwa kazi na unaitimiza vizuri uko gado hahahaha,sipati picha hao Lenjine waija hapa sijui kama patatosha
 
Jitahidi utume CV yako mambo ya kiwango cha elimu na uwezo wa kufanya kazi tutajua ukija kwenye usaili

Hivi kampuni gani hii ambayo sijaskia hata siku moja ikitoa ajira? Jamani mnawapa watu matumaini ambayo hayapo, msicheze na kuwa jobless ninyi.
 
Back
Top Bottom