Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Udereva wa kiwango gani, A,B,C au D? Kuna kijana wangu mtaani anatafuta kazi ya udereva ana CLASS D.
kumbe na wewe huku unapitaga.....
vipi kijana wako amepata ajira tayari!!!!!!
Udereva wa kiwango gani, A,B,C au D? Kuna kijana wangu mtaani anatafuta kazi ya udereva ana CLASS D.
Bado bhana, kama hutajali nisaidie kumtafutia malkia wangu.kumbe na wewe huku unapitaga.....
vipi kijana wako amepata ajira tayari!!!!!!
salam
tunatafuta wafanyakazi wa kada zote
1-walinzi,mawaiter,macleaner,magardener,drivers,pvc technicians,secretaries,receptionist,guest helper
2-wahasibu,mastoo keeper,operations,office assistents,legal officers,marketing officers
3-general managers,financial controller,chief accountants,auditors,lawyers
4-business advisers,hr managers,teachers,
tuma barua , cv yako ikiambatana na scanned copy ya vyeti vyako kwa email yetu ya lenjentz@gmail.com
Tunawashukuru wote mliofika kwa ajili ya usaili
Tunawaomba nyote mnaotuma CV hakikisha namba ya simu uliyoweka kwenye CV yako inapatikana hili limekuwa tatizo unakutana na CV nzuri na mna mteja anahitaji such staff ila tunapiga simu hazipatikani na tunatuma email hazijibiwi.Jitahidini kwenye eneo la mawasiliano ni muhimu sana
tunaendelea kupokea CV
Nije na 20,000/= za usaili kama kawaida yenu?Jitahidi utume CV yako mambo ya kiwango cha elimu na uwezo wa kufanya kazi tutajua ukija kwenye usaili
acha usanii daily mnataka cv hutaji ofsTunawashukuru wote mliofika kwa ajili ya usaili
Tunawaomba nyote mnaotuma CV hakikisha namba ya simu uliyoweka kwenye CV yako inapatikana hili limekuwa tatizo unakutana na CV nzuri na mna mteja anahitaji such staff ila tunapiga simu hazipatikani na tunatuma email hazijibiwi.Jitahidini kwenye eneo la mawasiliano ni muhimu sana
tunaendelea kupokea CV
Kama unahitajikazi tuma CV acha siasa
akili zikiwa huko kwa kutolea haja kubwa utajua tuuu,sasa unagombana na mtu hata humjui yeye kasema tumeni CV sasa wewe kama hutaki si unaacha tuu mpaka uonyeshe kuwa unavutiaga yale majani chooni??
Salam
Tunatafuta wafanyakazi wa kada zote
1-Walinzi,Mawaiter,Macleaner,Magardener,Drivers,PVC Technicians,Secretaries,Receptionist,Guest Helper
2-Wahasibu,Mastoo Keeper,Operations,Office Assistents,Legal Officers,Marketing Officers
3-General Managers,Financial Controller,Chief Accountants,Auditors,Lawyers
4-Business Advisers,Hr Managers,Teachers,
Tuma Barua , CV yako ikiambatana na scanned copy ya vyeti vyako kwa email yetu ya lenjentz@gmail.com
Wadau wote
Tunawashukuru sana kwa ushirikiano na maombi yenu mliyotuma kwetu,Wale waliopata kazi tunawapongeza sana na ambao hawajapata bado wasiwe na wasiwasi sisi tupo kwa ajili yenu ni swala la muda tuu.
Naomba muendelee kutuma CV na Certificates zenu kwa kutumia email hii mpya ya info@lenjentz.com
Kuanzia sasa hii ndio itakuwa email ya kupokea maombi yenu,wale waliotuma kwenye gmail email na hamkuitwa sasa mnaweza tuma kwenye hii info@lenjentz.com
Nawashukuru sana na karibuni nyote