Tunatafuta wafanyakazi

Tunatafuta wafanyakazi

LENJENTZ

Member
Joined
May 21, 2013
Posts
69
Reaction score
10
Salam

Tunatafuta wafanyakazi wa kada zote

1-Walinzi,Mawaiter,Macleaner,Magardener,Drivers,PVC Technicians,Secretaries,Receptionist,Guest Helper

2-Wahasibu,Mastoo Keeper,Operations,Office Assistents,Legal Officers,Marketing Officers

3-General Managers,Financial Controller,Chief Accountants,Auditors,Lawyers

4-Business Advisers,Hr Managers,Teachers,

Tuma Barua , CV yako ikiambatana na scanned copy ya vyeti vyako kwa email yetu ya lenjentz@gmail.com
 
Sa si ungesema ni kampuni gani..!!! Wengine sisi kufanya kazi kampuni ya ulinzi tuna alegi hata kama mshahara ni mkubwa na kazi nifanyayo ni siyo ya kuvaa yale magwanda
 
Mmmmmhhhhhhh mbona halijakidhi vigezo vya tangazo la kazi, au kwa kuwa kuna njaa kubwa sana ya ajira kwa sasa!!
 
Unatutamanisha tafadhari toa liandae vizuri hilo tangazo with more details, offece location, duties, salaries and naniliu hatuna ajira chambua kidogo bosi au mimi niwe mfanyakazi wako wa kwanza ili nikuandikie tangazo
 
Salam

Tunatafuta wafanyakazi wa kada zote

1-mWalinzi,Mawaiter,Macleaner,Magardener,Drivers,PVC Technicians,Secretaries,Receptionist,Guest Helper

2-Wahasibu,Mastoo Keeper,Operations,Office Assistents,Legal Officers,Marketing Officers

3-General Managers,Financial Controller,Chief Accountants,Auditors,Lawyers

4-Business Advisers,Hr Managers,Teachers,

Tuma Barua , CV yako ikiambatana na scanned copy ya vyeti vyako kwa email yetu ya lenjentz@gmail.com

Mbona hujaweka viwango vya elimu kwa kila nafasi pia majukumu ya hiyo nafasi? Weka tutume maombi yetu fasta
 
Jitahidi utume CV yako mambo ya kiwango cha elimu na uwezo wa kufanya kazi tutajua ukija kwenye usaili
 
Sa si ungesema ni kampuni gani..!!! Wengine sisi kufanya kazi kampuni ya ulinzi tuna alegi hata kama mshahara ni mkubwa na kazi nifanyayo ni siyo ya kuvaa yale magwanda

Kama unahitajikazi tuma CV acha siasa
 
Tunawashukuru wote waliotuma CV na vyeti vyao ,mpaka sasa tumepokea CV na vyeti kadhaa,kesho tutaanza kuwapigia simu na kuwaemail

Bado tunapokea CV na vyeti

Kama unahitaji kazi tafadhali wasilisha CV zako
 
mhuuuu,baadae msiwaombe pesa,maana ninavyojua na nyie mnataka kuwafanya wanaotafuta ajira kama ajira yenu,mjini ujanja ujanja tu,mnatumia matatizo ya wenzenu kujinufaisha
 
mkuu hata km tuna shida na ajira usitufanye wajinga!
Tangazo haliko detailed natumaje cv?.....
Na kwnn hutaki kusema ni kampuni gani na inajishgulisha na nn?

Yeah_niko pomoja na wewwe mkuu,..hata kama watanzania ajira ni shida lakn kidogo jamaa aonyeshe kujali na kuheshimu mkuu.
 
Salam

Tunatafuta wafanyakazi wa kada zote

1-Walinzi,Mawaiter,Macleaner,Magardener,Drivers,PVC Technicians,Secretaries,Receptionist,Guest Helper

2-Wahasibu,Mastoo Keeper,Operations,Office Assistents,Legal Officers,Marketing Officers

3-General Managers,Financial Controller,Chief Accountants,Auditors,Lawyers

4-Business Advisers,Hr Managers,Teachers,

Tuma Barua , CV yako ikiambatana na scanned copy ya vyeti vyako kwa email yetu ya lenjentz@gmail.com

zigawe tu kwa ndugu zako.
 
Tunawashukuru wote waliotuma CV na vyeti vyao ,mpaka sasa tumepokea CV na vyeti kadhaa,kesho tutaanza kuwapigia simu na kuwaemail

Bado tunapokea CV na vyeti

Kama unahitaji kazi tafadhali wasilisha CV zako

Natuma CV yangu ila sio vyeti mkuu_hapo vip.....mmmmh?
 
This is not a potential employer ila huenda akawa ni mjasiriamali anataka kuanzisha recruitment agency au anayo ila hajapata bado watu wa maana. Kuwa muwazi!
 
Siwezi tuma CV kwa namna hii. Sasa hujui huyu ni mwajiri au wakala wa ajira. Watanzania tuwe makini, na tujue kwamba mwajiri anahitaji mfanyakazi kama mfanyakazi anavyomhitaji mwajiri.

Katika suala la kutafuta kazi lazima mojawapo ya vitu viwili vijulikane: aidha wakala wa ajira au kampuni ambayo ndiyo mwajiri.

Usitume nyaraka zako muhimu kama CV na vyeti sehemu usiyoijua!!
 
Tunawashukuru wote mliofika kwa ajili ya usaili

Tunawaomba nyote mnaotuma CV hakikisha namba ya simu uliyoweka kwenye CV yako inapatikana hili limekuwa tatizo unakutana na CV nzuri na mna mteja anahitaji such staff ila tunapiga simu hazipatikani na tunatuma email hazijibiwi.Jitahidini kwenye eneo la mawasiliano ni muhimu sana

tunaendelea kupokea CV
 
Back
Top Bottom