Tunasubiri Tamko la chadema ,kuhusu Mambo haya mawili

ibesa mau

JF-Expert Member
Sep 17, 2015
2,109
1,692
Chadema kama chama kikuu cha upinzani hakijatoa tamko kuhusu issue mbili za WB kukata kuwakopesha serikali Dora 500M na issue ya pili ni hii iliyotokea juzi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kutajwa na FBI ameshiriki kutika vitendo vya kunyima watu haki ya kuishi

Marekani wamesema wanao ushahidi wa kutosha juu ya madai yao kwa makonda , usicheze na sayansi na teknolojia ya uchunguzi. Umeshawahi jiuliza meseji unazofuta kwenye simu yako kila siku zinaenda wapi?, hii haina tofauti na CCTV unaweza futa data zote lakini saver kuu ikawa bado imetunza data.

Tunasubiri tamko kama chama kikuu cha upinzani kinamtazamo gani.

Kwa sasa tuna mashujaa wawili tu Lissu na Zitto ambao kimsingi ndio wamekubali kutoa maisha yao kwa ajiri ya watanzania wanyonge .
 
Kama wanaungana na zitto basi watuambie wanachama tukampokee kwa kishindo .maana nchi hii imebaki na mashujaa wawili tu, Zitto na Pompeo. Pompea amekuwa kama mtanzania mwenzetu
John Mnyika toa tamko kuwapongeza US na WB.
 
Kama wanaungana na zitto basi watuambie wanachama tukampokee kwa kishindo .maana nchi hii imebaki na mashujaa wawili tu, Zitto na Pompeo. Pompea amekuwa kama mtanzania mwenzetu
Pompeo ndio mzalendo wa tatu baada ya Lissu na Zitto.
 
Chadema kama chama kikuu cha upinzani hakijatoa tamko kuhusu issue mbili za WB kukata kuwakopesha serikali Dora 500M na issue ya pili ni hii iliyotokea juzi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kutajwa na FBI ameshiriki kutika vitendo vya kunyima watu haki ya kuishi

Marekani wamesema wanao ushahidi wa kutosha juu ya madai yao kwa makonda , usicheze na sayansi na teknolojia ya uchunguzi. Umeshawahi jiuliza meseji unazofuta kwenye simu yako kila siku zinaenda wapi?, hii haina tofauti na CCTV unaweza futa data zote lakini saver kuu ikawa bado imetunza data.

Tunasubiri tamko kama chama kikuu cha upinzani kinamtazamo gani.

Kwa sasa tuna mashujaa wawili tu Lissu na Zitto ambao kimsingi ndio wamekubali kutoa maisha yao kwa ajiri ya watanzania wanyonge .
Ufipa wamesema Mara nyingi juu ya uharamia wa Magufuli c/o Mokonda, dhidi ya wanyonge wa Tanzania.
 
Chadema wanatumia akili sana kuliko mihemko itumikayo bungeni. WB hawajasema kuwa wameinyima nchi mkopo, wao wamezuia hadi pale katazo LA Magufuli litakapo ondolewa. Tumezuiliwa kwa vile Magu kaleta ubabe tuu lakini serikali ilisha to a mwongozo jinsi ya kuwasomesha hao watoto wakiwa wamepata ujauzito.
Leo badala ya kumwambia mungu wenu afute kauli tupewe hela watu mnazunguka zunguka Mara Zitto, sijui Chadema tamko sijui nini.
Issue ya DAB imesemwa sana kuwa huko tunakoelekea uvunjifu huu wa haki za binadamu utailetea nchi taabu watu wakaishia kutoa kebehi tuu, Leo wengi wa hao watoa kebehi ndio waathirika wakubwa (vijana) na amri hiyo ya US.
Ndoto za vijana za maisha huko US zimeingia mushkeli kisa DAB anaendekezwa na kulindwa na utawala, msisubiri Chadema itoe kauli bali chukueni hatua kila mtu ajue vitendo vya DAB vimewaathiri
 
Chadema kama chama kikuu cha upinzani hakijatoa tamko kuhusu issue mbili za WB kukata kuwakopesha serikali Dora 500M na issue ya pili ni hii iliyotokea juzi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kutajwa na FBI ameshiriki kutika vitendo vya kunyima watu haki ya kuishi

Marekani wamesema wanao ushahidi wa kutosha juu ya madai yao kwa makonda , usicheze na sayansi na teknolojia ya uchunguzi. Umeshawahi jiuliza meseji unazofuta kwenye simu yako kila siku zinaenda wapi?, hii haina tofauti na CCTV unaweza futa data zote lakini saver kuu ikawa bado imetunza data.

Tunasubiri tamko kama chama kikuu cha upinzani kinamtazamo gani.

Kwa sasa tuna mashujaa wawili tu Lissu na Zitto ambao kimsingi ndio wamekubali kutoa maisha yao kwa ajiri ya watanzania wanyonge .
Naomba ni kusahihishe kidogo Zitto ni ACT na ACT ni taasisi. Lissu ni CHADEMA na CHADEMA ni taasisi. Tulia siasa zinazochezwa siyo za nyakanazi ni za kiwango cha juu hivyo usifungulie nzi.
 
David Silinde Mbunge wa Momba aliuliza bungeni kua ni vyema serikali ikaieleza bunge kua je mkopo umezuiliwa? kabla ya kujadili mtoa taarifa ambae nae haifamiki kama kutoa taarifa ndo chanzo cha mkopo kuzuiliwa. Mh Ndugai akasema asante kwa ushauri ila naomba wabunge mseme kidogo.

Kwa akili ya kawaida; Ndugai hana uwezo tena ya kuongoza chombo kikubwa kama bunge make anaongozwa na miemuko tu kama washabiki wa simba na yanga wanapokua uwanja wa taifa.

Mh. Ndugai akili yako wenda imedumaa au kwasababu unatembea na mh Rais pembeni kama mpambe wake then anakuambia cha kufanya ni nini ukiwa bungeni; siku ukitoka mbugeni ndo utasikia wanaCCM wakikudhiaki kua ulikua dhaifu adi ukashindwa kuongoza mbuge...tambua kua CCM ni wanafiki kuzidi ata nzi wenyewe; angalia wanavyomnanga JK na leo Lugora.
 
Chadema kama chama kikuu cha upinzani hakijatoa tamko kuhusu issue mbili za WB kukata kuwakopesha serikali Dora 500M na issue ya pili ni hii iliyotokea juzi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kutajwa na FBI ameshiriki kutika vitendo vya kunyima watu haki ya kuishi

Marekani wamesema wanao ushahidi wa kutosha juu ya madai yao kwa makonda , usicheze na sayansi na teknolojia ya uchunguzi. Umeshawahi jiuliza meseji unazofuta kwenye simu yako kila siku zinaenda wapi?, hii haina tofauti na CCTV unaweza futa data zote lakini saver kuu ikawa bado imetunza data.

Tunasubiri tamko kama chama kikuu cha upinzani kinamtazamo gani.

Kwa sasa tuna mashujaa wawili tu Lissu na Zitto ambao kimsingi ndio wamekubali kutoa maisha yao kwa ajiri ya watanzania wanyonge .
Kama makonda kazuiwa kukanyaga USA aende akakanyage mafuta ya mwamposa hahahahaaaaa
 
Back
Top Bottom