ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,692
Chadema kama chama kikuu cha upinzani hakijatoa tamko kuhusu issue mbili za WB kukata kuwakopesha serikali Dora 500M na issue ya pili ni hii iliyotokea juzi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kutajwa na FBI ameshiriki kutika vitendo vya kunyima watu haki ya kuishi
Marekani wamesema wanao ushahidi wa kutosha juu ya madai yao kwa makonda , usicheze na sayansi na teknolojia ya uchunguzi. Umeshawahi jiuliza meseji unazofuta kwenye simu yako kila siku zinaenda wapi?, hii haina tofauti na CCTV unaweza futa data zote lakini saver kuu ikawa bado imetunza data.
Tunasubiri tamko kama chama kikuu cha upinzani kinamtazamo gani.
Kwa sasa tuna mashujaa wawili tu Lissu na Zitto ambao kimsingi ndio wamekubali kutoa maisha yao kwa ajiri ya watanzania wanyonge .