Tunashughulika na kuuza drip irrigation pipes

Tunashughulika na kuuza drip irrigation pipes

Mimi nazihitaji kwaajili ya umwagiliaji wa parachichi:
Space kati ya mstari na mstari:mita 8
Space kati ya mti na mti. :mita 4
Eneo ni ekari 3
Naomba bei ili nikucheki
20200208_100834.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom