Tunashughulika na kuuza drip irrigation pipes

One of my supplies kwenye GREEN HOUSE za wateja wangu huko KUSINI mwa Tanzania
 
Drip pipe zenye Matundu teari zinauzwa tsh 600 kwa meter na Roller moja ina meter 1500,unene wa pipe 16mm
Mbona Bei sana aisee??
Manake Ukichukua Tshs 600 x mita 1,500 = Tshs 900,000/= kwa Roller,
Nimeangalia kule chini kabisa kwenye "Similar Threads" nimekutana na mmoja anauza kwa Tshs 250,000/= kwa Roller, nini tofauti?? Drip Irrigation Pipes zinauzwa

Au wewe hilo roller moja unaongezea na nini labda??
Au ni Installation Cost kwenye shamba iko ndani yake??
 
Angalia Roller lake lina mita ngapi na halafu ni drip zipi anazouza yeye? Zenye matobo au zile za plain?No way anauza kuuza Roller km zangu kwahiyo bei,kingine ulinganishe na quality,maana zipo utauziwa zikipigwa na jua miezi miwili tu ukabadilishe zingine
 
Yule jamaa hafanyi hii biashara, alinunua kwa matumizi yake zikawa zimebaki nne ndio anaziuza

..................

Habari Wakuu,
Ninauza Rollers za Drip Irrigation,
Ziko jumla 4 @ Tshs 250,000/= each,
Urefu wa kila Roller ni 1,500metres,
Emitter spacing ni 30cm & 50cm interval.

Kwa kila Roller 1 utapata
-Connectors za Drip to Normal Pipe (PVC Offtake) - 100 Pcs

- End lock za Drip zinazofungwa mwishoni mwa Drip (Tape Plug) - 100pcs

Ninapatikana Dar es Salaam
NB;
Mimi sio Dealers wa hizi vitu, bali niliagiza za Kwangu mwenyewe kwa ajili ya shambani kwangu na hizi ndio zimebaki. Sasa kwakua nahitaji kufanya vitu vingine basi wacha hizi niziuze.

Mobile 0684 477 150
 
Angalia Roller lake lina mita ngapi na halafu ni drip zipi anazouza yeye? Zenye matobo au zile za plain?No way anauza kuuza Roller km zangu kwahiyo bei,kingine ulinganishe na quality,maana zipo utauziwa zikipigwa na jua miezi miwili tu ukabadilishe zingine
Roller lina mita 1,500 kama zako tu, na kasema zina matundu ya 30cm na 50cm
 
Ajmeel ninalima matikiti Maji ambapo spacing zake ni mita 2 Kati ya mstari na mstari na mita 1 Kati ya shina moja na jingine.Naomba estimations za pipes hapo kwa eka moja + gharama.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
MTANANA wastan unanionyesha utahitaji meter za pipe 1650,ni Roller moja zima namita 150 ziada,Kwa kesi km hii ukinunua kwangu Roller Moja meter 150 za ziada ntakupa OFFER.
 
Wanajamvi,Nina duka linaitwa Agricultural Equipments (AgreQ)Lipo maeneo ya ILALA AMANA,tunashughulika na kusupply drip Irrigation pipes kwa zote ambazo zina ready matunde na zile za kuweka matundu Manually,pia tunazo na viunganishi vyake,0655008486 KARIBUNI

Mkuu hekari 1, nategemea kupanda mazao yangu kwa 40cm x40cm nahitaji drip irrigation pipes (system), je nipata kwa kiasi gani hapo kwako. Zenye matundu na zisizo na matundu?
 
Kwenye pipes inategemea na Aina ya kilimo unachotaka kulima na spacing yake kutoka Mstari kwenda mstari,ndipo utajua eka moja itaingia Roller ngapi,sasa nijue wewe spacing yako itakuwaje?

Heka moja,

Nafasi ya mme na mmea ni cm 40x40, roller ngapi zinatakiwa ?
 
Wanajamvi,Nina duka linaitwa Agricultural Equipments (AgreQ)Lipo maeneo ya ILALA AMANA,tunashughulika na kusupply drip Irrigation pipes kwa zote ambazo zina ready matunde na zile za kuweka matundu Manually,pia tunazo na viunganishi vyake,0655008486 KARIBUNI
Roll ina mita ngapi
Unauzaje
Dripper spacing
Discharge?
 
Angalia Roller lake lina mita ngapi na halafu ni drip zipi anazouza yeye? Zenye matobo au zile za plain?No way anauza kuuza Roller km zangu kwahiyo bei,kingine ulinganishe na quality,maana zipo utauziwa zikipigwa na jua miezi miwili tu ukabadilishe zingine
Hizo ambazo zikipigwa na jua miezi miwili zinaharibika zikoje na mteja atajuaje kama pipes zako ni bora kuliko za mwenzako?
 
Duh, hizi bidhaa ufake umezidi ni bora mpira wa kumwagilia kwa mikono
 
Back
Top Bottom