Tunaposema CCM ina Wenyewe muwe mnaelewa, Aliyekuwa Mbunge kateuliwa tena kugombea Ubunge, nyie wengine endeleeni kuvishwa fulana na kofia

Hivi wananchi hawawezi piga chini huyu mtu ili ajiandae vizuri kwa 2025.
Mtu una kazi unaacha kazi.
Pigeni chini.
 
Polepole aliposema kuwa kwenye mapendekezo ya katiba mpya vyeo vya udc viondolewe alizomewa sana na mambugila wa uvcc lumumba.

Maana walijua kuwa ajira pekee ipo kule.
Ccm ina vyeo vingi, Mwendazake aligeuza Hadi vyeo vya u ded,das,Balozi nk kuwa vya makada
 
Back
Top Bottom