Tunapopoteza Matajiri 5 ndani ya wiki 1

Kuna wengine wameharibikiwa akili kwa ajili ya dini wanadai chanjo si muhimu bali sala tu kanisani na misikitini ndiyo suluhisho....waafrika tunafeli wapi jamani, yaani tunashindwa hata kutumia common sense kwa hili? Si kila kitu ni sala, mbona chanjo za surua na magonjwa mengine hatukupinga au Mungu alikuwa hayupo kipindi hicho?
 
Pole kwa msiba wa Dr Massawe. Tulisali wote pale mbezi beach machakani kabla hata lile kanisa halijajengwa.
 
Waliochanja, wamekuwa wakwanza kwenda kuandaa makao
 
Watajwa wote hapo juu wamekufa wakiwa tayari wamechanjwa
Ongeza sauti, na wengine wanapepesuka na kuanguka kwenye mdahalo huku wahusika wakisainisha wanyonge fomu ya kujitoa ikiwa litawatokea la lenzi mbinuko
 

Mbaya zaidi rais aliyekuwa amiri jeshi wetu mkuu alikuwa mmoja wa wavurugikiwa hao. Aliyepo sasa akiwa kama makamu wake. Wapambe wao wako humu JF.

Busara yoyote ikitolewa wao hupagawa nyuso kuwawiva na kuwa mithili ya huyu:



Tumelazimika kuwaita kilingeni wateme nyongo yaishe tuanze mwanzo mpya:

Mahasimu wa CHADEMA, Mbowe na Chanjo tukutane hapa
 
Nchi nyingi za africa swala la mikusanyiko hawaangalii kabisa, hiyo sahahu.
 
Mchakato wa COVID-19 sasa uhamie kwenye cabinet.
Leo tuko pamoja mtu wangu wa nguvu.

Hapo umemsahau Keenja na mkewe. Hapo Ar Uliwa wa Matchmaker anazikwa saa hii.

Huko dsm vifo havina hesabu.

Haya tuseme hawajachanja au hizo sindano za chanjo hazichemshwi vzr.

Mungu atuokoe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…