ndandawamalenja
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 548
- 661
Wakuu shwari? Naombeni mnieleweshe kitu kimoja, hivi nchi moja inapoilazimisha nchi nyingine iruhusu ushoga inapata faida gani? Manake nafikiria pale Cameron alipotakaTanzania iruhusu ushoga ama sivyo hakuna misaada. Sasa nafikiria, kama ishu ni haki za binadamu ni ngapi zinakiukwa na ambazo hata sisi watanzania tunataka tupate lakini wao wanatuwekea msisitizo kwenye haki ya ushoga (kama ni haki) ambao hata ukiruhusu watakaoupenda ni wachache? (wenye hormone za kike sijui??). (Wadada sorry sina maana mbaya, simaanishi wanaotakiwa kuwa mashoga ni nyie).